Recent content by euca

  1. euca

    JamiiForums Tanzania Mods Angalieni Uwezekano wa Kurudisha Application ya Zamani ya JF

    Ile ya zamaninl ni unyama mwingi sana yani unascroll chini juu bila shida ila hii ya Sasa ni shida tupu na mbaya zaidi ukidownload Ile ya zamani unashangaa baada ya siku kadhaa inarudi hii mpya yani Hadi zile apk file zinabadilika
  2. euca

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu tembelea Mbagala biasi Temeke uone Manispaa ilivyoziba Mitaro ya Maji ya Mvua

    Biasi ni Tatizo sana mifereji yote juu Kuna vibanda
  3. euca

    JamiiForums Tanzania Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kuna Simu zinaitwa Nubia sijui ni za wapi hizi
  4. euca

    JamiiForums Tanzania Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

    Hvi makamu naye anahudhuria hiki kakao
  5. euca

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

    Wampe kaka Mayalla yule ni mtu poa sana na wamaana
  6. euca

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mapenzi ya kwanza hayasahauliki kirahisi?

    Kuna jamaa nilimsikia anasema kwa wadada Ile damu ya bikra inakuwa kama kiapo kati yenu kwahyo ni ngumu kusahauliana
  7. euca

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Umma Wekeni Wataalamu Kwenye Mabanda ya Maonesho, hawa wengi Mnaotuwekea uwezo mdogo

    Mpango wa pesa huo huwezi kupata watu wenye weledi na taasisi
  8. euca

    JamiiForums Tanzania Nina jamaa yangu tangu nimjue hajawahi kuwahi tukikutana. Hii inasababishwa na nini wakuu?

    Hilo ni moja ya mapungugu yake hvyo kuyatambua kwako Kuna kupa uwezo wa kuzidi kuwa pamoja muda mrefu
  9. euca

    JamiiForums Tanzania Tetesi: JayRutty kusitisha mkataba na Simba mwisho wa msimu huu

    Bonafsi naona Kuna dalili ya kuongeza tu mkataba maana hiyo biashara haina hasara
  10. euca

    JamiiForums Tanzania Tamasha la leo 8.Aug.2026 Simba inahujumiwa kwenye Azam Tv

    Hatuna timu pale
  11. euca

    JamiiForums Tanzania Nimenunua Samsung galaxy S21+ 5G

    Ongeza nyama kidogo na sisi watu wa maduarani tupate maarifa
  12. euca

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Hii safi sana inapaswa tuheshimu wake za watu kinyume na hapo yaweza kukukuta yaliyomkuta mwamba hapo juu
  13. euca

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi NHIF Imefilisika? Hospitali nyingi na Vituo vinalalamika kutolipwa!

    Hawa hawawezi kufulia maana wanauhakika wa maokoto kila mwezi na katka hao wanaoumwa ni wachache sana
  14. euca

    JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa DAR ES SALAAM kuna TAPELI WA JUICE wacha nikufahamishe;-

    Jamaa haanzi kukupa juice Bali anaanza na maswali then wakati unajiandaa kujibu anakukaribisha na hiko kinywaj ili ujibu vizuri maswali yake ,kwa nature ya watu wadarisalaam wanavyopenda ndumba Katika bize zao nahakika haka kajamaa anakandumba kake cha kuwatia watu ulofa nakuwapumbaza
  15. euca

    JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa DAR ES SALAAM kuna TAPELI WA JUICE wacha nikufahamishe;-

    Huyu jamaa yupo hata kabla ya Magufuli kuwa Rais ,nilikuwa jamaa ameshapata kizimba mule ndani sokon
Back
Top Bottom