Recent content by essaugervas

  1. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Tunafunga fence za umeme na installation ya CCTV cameras.

    weka bei mkuu
  2. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape afanya Ziara ya Kushitukiza Kariakoo, akamata kazi feki za sanaa

    filimu zenyewe za kibongo feki,,waigizaji wenyewe wa kibongo ni feki,,nadhani angeanzia kwa waigizaji feki
  3. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Queen Darleen: Naumia Kuishi Bila Mpenzi

    huyu si alizaa na yule dakota aliyekuaga meneger wa mapacha wa tatu
  4. essaugervas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Mungu hawaridhishi, mwanaume ataweza?

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  5. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Msanii Ney wa Mitego kujenga kanisa

    bila shaka hatakua dalali muigizaji huyo,,kacheza movie nying sana za kanumba
  6. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

    mzee wa nyimbo za kidosi
  7. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

    hv huyu george si ndye aliyezaa na mange kimambi
  8. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Naomba tupeane ushauri wa jumla kilimo vs ufugaji

    mwabie aende pale kilolo iringa pale msimu mzima wanalima,,alime ngegele na mahindi alafu hayo mahindi anakuja kuyauza kama mabichi,,muhind moja kwa shamba wananua sh300,,hakika hela yake hatakua ameiwekeza mahala sahihi
  9. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa 140,000.Mbezi ya Kimara

    ina vyumba vingapi
  10. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Nauza tipper isuzu direct injection

    zuri sana hizo gari hasa maeneo yetu haya ya mbeya kwenye kubebea viazi,,mbao
  11. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya za Kigogo mmoja wa Tanzania zakamatwa nchini Kenya

    tutasikia mengi sana mwezi huu february
  12. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya za Kigogo mmoja wa Tanzania zakamatwa nchini Kenya

    duuh kumbe hii biashara inalipa yaan kamzigo kenyewe aliweka kwenye viatu ndyo pesa mingi hvyo
  13. essaugervas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu hataki kabisa nichezee au kuangalia papuchi wakati kugegedana

    ndyo maana mvua zinagomaa kunyesha[emoji1] [emoji1]
  14. essaugervas

    JamiiForums Tanzania Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

    nidher khalifan na razak khalifan
  15. essaugervas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

    mungu anatenda pale pasipo na njia
Back
Top Bottom