Heavy equipment JF-Expert Member Oct 13, 2012 1,446 989 Feb 7, 2017 #1 Inahitaji overhaul engine bei milioni 14. Mawasiliano 0759812567
B bnhai JF-Expert Member Jul 12, 2009 2,824 2,381 Feb 7, 2017 #2 Engine mpya kiasi gani? Maana km ni overhaul mwenyewe angechangamka. Halafu hizi model, ....
Kituko JF-Expert Member Jan 12, 2009 9,555 9,349 Feb 7, 2017 #4 Nshuma ntupu, bonge la deal kwa Waarabu wa Tinde na tabora kwa ujumla
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Aug 28, 2016 8,658 15,784 Feb 7, 2017 #5 Duuh! Ugonjwa wa moyo huu!
essaugervas JF-Expert Member Jun 25, 2016 580 279 Feb 7, 2017 #6 zuri sana hizo gari hasa maeneo yetu haya ya mbeya kwenye kubebea viazi,,mbao
Fedor von Bock JF-Expert Member Apr 16, 2015 2,321 2,155 Oct 30, 2017 #8 Kituko said: Nshuma ntupu, bonge la deal kwa Waarabu wa Tinde na tabora kwa ujumla Click to expand... hahaaaa umenikumbushe mboka mkuu
Kituko said: Nshuma ntupu, bonge la deal kwa Waarabu wa Tinde na tabora kwa ujumla Click to expand... hahaaaa umenikumbushe mboka mkuu