Nyumba inapangishwa 140,000.Mbezi ya Kimara

joss1973

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
405
102
Nyumba yenye vyumba viwili na sitting room inapangishwa Mbezi ya kimara .kimoja master room .kina,choo ndan .na nyumba yenye get na parking gari .inapangishwa sh 140,000 kwa mwezi.contact whatsap 0713 95 92 90
 

Attachments

  • IMG_20170206_131521.jpg
    IMG_20170206_131521.jpg
    121.9 KB · Views: 47
Naona ulikuwa unajaribu kuanzisha uzi, umeweza sasa kapige tena picha vizuri pande zote uzilete hapa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom