Recent content by ESR

  1. E

    JamiiForums Tanzania NWK Biteko aweka Jiwe la msingi la mradi wa Bilioni 270. Bei ya gesi ya Kupikia kushuka Kwa asilimia 40%

    Bwawa la Mwl Nyerere likiisha umeme utashuka bei! KIKO WAPI?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nina uvimbe kwenye chuchu moja la upande wa kulia na lnazidi kuvimba tu sasa miaka mitatu

    Kama uko Dar, nenda Ocean Road Hospital, ukafanyiwe uchunguzi.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

    Kazi kweli kweli.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Jemedari: Mpira wa Tanzania umejaa watu wajinga

    .
  5. E

    JamiiForums Tanzania Israel Sasa inatosha

    Hayo yote yanatokea, Je? Palestine hawana Jeshi?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

    Aljazeera News 15/10/2023 wamesema, rockets zote zilizorushwa na HAMAS zimekuwa dissolved na Aron dome.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wakurd hawajaandamana kuipinga Israel dhidi ya Hamas

    Nchi zetu za subsaharan, tatizo kubwa ni uongozi! Viongozi wetu wana vision moja tu, kuhakikisha chama kinakaa madarakan.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Hakuna Chakula, Maji, Umeme wala Mafuta kuingia Gaza mpaka Mateka wote wa Israel waachiwe huru na HAMAS bila Masharti

    Tuwe serious basi! kwani vita vya dunia ya sasa wanatumia ngumi kupigana?? Wakati unashusha hizi nondo zako, ulifanya rejea ya mission zilizo fanywa kwa mafanikio na Israel!? Hata katika Ranking za majeshi bora dunian , Israel imo kwenye 20 twenty.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Israel haikushindwa kwenye ujasusi

    Sio kweli! Israel isinge ruhusu vifo vya wananchi wake kiasi kile. Kiufupi ni kuwa Ujasus ulifeli pakubwa.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliona mbali kukimbilia misaada Uarabuni sababu Wazungu wameshavurugwa misaada yao itakuwa migumu!

    Mkuu John Mbatizaji, yani bado tunahangaika kutafuta nchi za kutusaidia? Nilidhani kwa sasa tunajitegemea, anacho fanya ni kuimarisha diplomasia kimataifa.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kununua Mafuta kwa kutumia Sarafu yao

    Wanazidi ku inflate currency yao!
  12. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mke

    Achana nae huyo! bado mdogo sana, hafahamu umuhimu wa social media/Networks
  13. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mke

    Kiwahili ni kigumu (Maana yake ilikiwa hata single mama) anakubalika.
  14. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mke

    Mkuu, shida haiangalii muda! tuombeane nifanikiwe mkuu!
Back
Top Bottom