Natafuta Mchumba/Mke

Good timing mkuu.
Baada ya sikukuu kupita nyuzi za wanaume kusaka wenza ni nyingi.

Siku kadhaa kabla ya sikukuu nyuzi nyingi zilitoka upande ke.

Aisee mnaliana timing kali kichizi.

Kwa njaanuari hii pm yako inafurumia tu huko
 
Mkuu, shida haiangalii muda! tuombeane nifanikiwe mkuu!
 
Hiki kitu cha kutafuta webza mtandaoni hua sijawahi kukielewa.
Je n kwamba katika watu wanowazunguka hawajaona anaefaa?
Je ni kwamba wanatafta suprise huku mtandaoni?
Je ni kukata tamaa na jua kuanza kuzama?
Je ni sehem ya kuficha maovu hasa kwa watu wasiowafaham vizuri?
Je ni uwezo mdogo wa kumwaga serA?
All in all nadhani kila mtu ana mawazo yake. Kila la kheri mkuu
 
Sio kweli,mke au mume anapatikana popote,haijalishi mtandaoni au sehem gani,ni Imani yake kuwa huku atapata,tumwache aendelee kutafuta
Nishasema akipata aniite mbwa yan mnakua kama mmerogwa hiv yan kama hamna akili vizur hiv😂ila ebu tukae kimya naona ving hamvijui
 
N
Hiki kitu cha kutafuta webza mtandaoni hua sijawahi kukielewa.
Je n kwamba katika watu wanowazunguka hawajaona anaefaa?
Je ni kwamba wanatafta suprise huku mtandaoni?
Je ni kukata tamaa na jua kuanza kuzama?
Je ni sehem ya kuficha maovu hasa kwa watu wasiowafaham vizuri?
Je ni uwezo mdogo wa kumwaga serA?
All in all nadhani kila mtu ana mawazo yake. Kila la kheri mkuu
ni ufala kama ufala mwingine kaka yan af mtu mzima kabisa😂😂aibu sana
 
Awe anaweza kuwa single mother?🤣🤣🤣🤣 yaani kwamba ukimzalisha unayeyaa au?
 
Hujataja sifa za nje aweje
Tulio flat screen tujijue kabla hatujavamia pm yako
 
hahaaaaa nimetoka kanisani kufanya usafi wa kanisa na kesho nawahi misa ya saa Moja kamili karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom