std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,411
- 4,200
Kumbe ni chalii wa ngalelooKama ndo yule white anafanya vizuri, nimeishi nae pale kwa mwizarubi chini ya sinon 😄😄, niishie hapa...
Kumbe ni chalii wa ngalelooKama ndo yule white anafanya vizuri, nimeishi nae pale kwa mwizarubi chini ya sinon 😄😄, niishie hapa...
Kabisa,manara naye genius [emoji1]Ukiwa mwongeaji tu kama manara wewe ni genius
Tena watu kama hawa ukikutana nao ni kuwakata vibaoNi vigumu sana kuiondowa Ccm madarakani kama Watanzania ndio kama huyu.
Wewe K ungekaa kimya ingependeza.Yani basha wako wewe unatalajia kila mtu amjuwe?
Kwanza wengine hatuna muda na hizo TV station zenu zilizopitwa na wakati.
hakika huyu kijana yupo nondo mnoo
Kwa hivyo hii inatosha kuitwa genious?
Core genius mfano wewe hapa JF ni genius katika mahesabu na uchambuzi Wa mpiraKwa hivyo hii inatosha kuitwa genious?
Sijataka kulithibitisha hilo ila mimi nimekaa upande wa huyu mtu yupoje. Binafsi namuona ni mtu mwenye maarifa mengi kwa sababu ya kupenda kujifunza na kusoma na sio ujinias anaousema muanzisha uziKwa hivyo hii inatosha kuitwa genious?
Hahaha, hata Chid Benz ni jiniasiTanzania kila mtu siku hizi ni genius
You have nailed it. Tanzania kuwa genius ni kitu kidogo sana. Nadhani ni kwa sababu tunaishi kwenye society ya watu wenye uelewa finyu, na mbaya zaidi wengi hatujui kiingereza hivyo tunashindwa kusoma mambo yanatokea duniani.Tanzania kila mtu siku hizi ni genius
Kazi kweli kweli.Kwa akili hizi lazima umuone mtu wa kawaida genius