Natafuta Mchumba/Mke

Mimi ni mwanaume wa miaka 38, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha.
Muonekano wangu.
Urefu- Mrefu Kiasi cm 173
Rangi- Mweusi.
-Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida)
Elimu yangu- degree 2
Kazi- Mtumishi (Taasis ya Serikali)

Sifa za ninae Mtafuta.
Rangi- Yoyote.
Miaka - Kuanzia 25 na kuendelea.
-Awe amejiajiri au muajiriwa.
  • Single parent ( single mother) namkubali pia
  • Awe mcheshi ( Napenda utani).
-Awe na Elimu yoyote.
-Awe anajipenda, kimavazi na mengine.
- Awe anaweza kuvaa nguo zozote ilimradi apendeze (Hapa nitajitahidi kadri nitakavyoweza kumpendezesha mke wangu).
-Awe na nafasi ya kutoka na mimi kwa ajili ya refleshment (hasa weeknd).

Pamoja na hayo, ninavutiwa sana na mwanamke mwenye maono (vision) hasa katika maendeleo. Awe tayar kutoa ushirikiano hasa katika kupanga maendeleo ya familia yetu.

Asiwe tegemezi wa mawazo, napendelea mawazo mbadala katika kuboresha na ustawi wa familia.

Niko tayari kumpa ushirikiano hasa akitaka kunifaham kiundani kwa maana ya back ground yangu!

(Karibu Inbox mchumba)
Huu urefu wa cm 173 ni urefu wa maumbile ya kiunoni au urefu wa mwili ?

Fafanuwa mkuu.

Usije ukakosa wachumba wakadhani pengine una ulemavu wa maumbile ya kiunoni..
 
Huu urefu wa cm 173 ni urefu wa maumbile ya kiunoni au urefu wa mwili ?

Fafanuwa mkuu.

Usije ukakosa wachumba wakadhani pengine una ulemavu wa maumbile ya kiunoni..
🤣🤣🤣🤣🤣 Ushamba mbaya sana hiyo ni kimo kwenda juu mkuu
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 38, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha.
Muonekano wangu.
Urefu- Mrefu Kiasi cm 173
Rangi- Mweusi.
-Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida)
Elimu yangu- degree 2
Kazi- Mtumishi (Taasis ya Serikali)

Sifa za ninae Mtafuta.
Rangi- Yoyote.
Miaka - Kuanzia 25 na kuendelea.
-Awe amejiajiri au muajiriwa.
  • Single parent ( single mother) namkubali pia
  • Awe mcheshi ( Napenda utani).
-Awe na Elimu yoyote.
-Awe anajipenda, kimavazi na mengine.
- Awe anaweza kuvaa nguo zozote ilimradi apendeze (Hapa nitajitahidi kadri nitakavyoweza kumpendezesha mke wangu).
-Awe na nafasi ya kutoka na mimi kwa ajili ya refleshment (hasa weeknd).

Pamoja na hayo, ninavutiwa sana na mwanamke mwenye maono (vision) hasa katika maendeleo. Awe tayar kutoa ushirikiano hasa katika kupanga maendeleo ya familia yetu.

Asiwe tegemezi wa mawazo, napendelea mawazo mbadala katika kuboresha na ustawi wa familia.

Niko tayari kumpa ushirikiano hasa akitaka kunifaham kiundani kwa maana ya back ground yangu!

(Karibu Inbox mchumba)

Habari
 
Kila la kheri huo umri ndo wa kuoa Sasa utakuwa ushamalizana na ujana
 
Hiki kitu cha kutafuta webza mtandaoni hua sijawahi kukielewa.
Je n kwamba katika watu wanowazunguka hawajaona anaefaa?
Je ni kwamba wanatafta suprise huku mtandaoni?
Je ni kukata tamaa na jua kuanza kuzama?
Je ni sehem ya kuficha maovu hasa kwa watu wasiowafaham vizuri?
Je ni uwezo mdogo wa kumwaga serA?
All in all nadhani kila mtu ana mawazo yake. Kila la kheri mkuu
Ni kawaida sana
 
Mkuu si uende shule za msingi au secondary uchague Madam mmoja mkali ambaye hajaolewa, uoe walimu ni wake wema. Humu utapata walioshindikana waje wakusaliti kama mwenzio msemaji ubaki unalialia mitandaoni.
 
  • Thanks
Reactions: ESR

Similar Discussions

Back
Top Bottom