Recent content by esasa04

  1. esasa04

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kijapani ndio dili

    Inatufundisha nn?? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. esasa04

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kuna hizi House of cards Game of thrones Into the badlands Forever The originals The vampire diaries True blood Being human (USA) Sherlock holmes Burn notice Sleepy hollow Witches of the east end Daredevil The sopranos PB Lost Battle star galactica Acheni bana series Sent using Jamii Forums...
  3. esasa04

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Jombaa iangalie yote, game of thrones ndo #one series on planet earth right now, na heart breaking pia coz ukidevelop love na character anakufa. G.o.t habari nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
  4. esasa04

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Nyie ndo mmenigusa ila ongezeni na true blood, being human (USA), the unit, strick back tuwe pamoja Sent using Jamii Forums mobile app
  5. esasa04

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

    Kama kweli upo serious hutaki kuchafuliwa nitafute, but no strings attached mm kung'ang'aniwa cpend na yatakayokukuta siri yako
  6. esasa04

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashemeji wa kike ni jipu

    Umeniangusha sana, hivi ungemtafuna ndo uje utusimulie umeona kazi sana? Ona sasa woga wako upo kwenye mgogoro na mashemeji zako hujala hata mmoja. Umeniudhi kwa kweli
  7. esasa04

    JamiiForums Tanzania TANZANIA TU NDIO YAPO HAYA

    ina maana huyu na wenzie ndo wanotafutwa na serikali kwa kufoji elimu zao, I wonder.
  8. esasa04

    JamiiForums Tanzania John Mnyika na Nassari mbona kimya sana?

    Nassari yupo England anachukua masters ya international relations thats why yupo kimya co hayupo TZ kwa sasa
  9. esasa04

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Diamond wazimwa na Wema Sepetu

    Ha ha ha ha imebidi nicheke, she may be a princess but she doesn't fit to be a queen.
  10. esasa04

    JamiiForums Tanzania Serial Killer

    Ndo maana anaitwa serial killer kwa sababu anaua bila sababu kwake ni kama fantasy akikuua ndio anajisikia amani, na ndio maana ni kazi kuwakamata kwa sababu huwa hapangi kuua ila anachagua victims wake random
  11. esasa04

    JamiiForums Tanzania Toyota Audi A4

    Yoyota audi!!?
  12. esasa04

    JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Fantastic
  13. esasa04

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

    Naona dunia inarudi tulikoanzia, kutembea uchi na baadaye tutaanza kuvaa magome ya miti na mbaya zaidi miti ni michache sijui kama itatutosha
  14. esasa04

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiambia kuwa ashawaza sana kuniacha ila anashindwa

    Hilo suala ni la kweli kabisa maana na mimi nina mpenzi wangu kila siku natafuta njia ya kumuacha miaka inaenda mitano sasa lakini bado ninae
  15. esasa04

    JamiiForums Tanzania Hongera Samatha Mbwana kwa kujenga nyumba

    Katika pita pita zangu nikaambiwa huo ndo mjengo wa shujaa wa football TZ a.k.a Mbwana Samatha. Lakini jamaa anakipiga tu huko Belgium hana hata sifa za kukirusha kitu chake kipya baada ya kuivunja nyumba yake ya awali iliyokuwepo eneo hilo la kisarawe II Kigamboni.
Back
Top Bottom