John Mnyika na Nassari mbona kimya sana?

John Mnyika na Nassari mbona kimya sana?

Yule dogo yuko kimaslahi na ni mjanja mjanja sana, nilikuwa jimboni kwake karibu na maeneo yake, barabara za mtaani ni mbaya sana na hajawahipitisha greda tangu ashike ubunge. Anasubiri uchaguzi ukaribie aanze kufanya kazi za kujitolea na kupiga picha na wananchi.
Hii tabia sio njema na ukijumlisha tabia ya kujisogeza kwa miccm siipendi kabisa. Natamani aache unafiki ameaminiwa na awe mkweli atimize ahadi na asijipendekeze kwa adui wa maendeleo..ccm
Maeneo yapi hayo.
 
Huo ni ujinga, ikiwa alipitishwa mwingine kuna shida gani.
Kama anafikiri kutoka upinzani na kurudia ccm kuwa ataendelee kuwa mbunge, athubutu
Siyo ujinga mkuu, ni sawa sawa na kuwabeza wanao taka kupaisgiwa madaraja ya mishahara kuna kitu kinaitwa morale, huwa kina pungua kwa au kuongezeka kwa sababu ndogo tu, yeye alikuwa ni moja ya wabunge seniors uadhan alijiskiaje wenzie walipo kuja tu, yeye kashushwa wao wakapanda
So uts okey, hata ungekuwa wewe unge react kama yeye, issue ya motivation ni pana kidogo lakin ni ya muhimu kwa mtu yeyote.
 
Nafikiri Nasari atakuwa na wakati mgumu sana jimboni kwake siku za usoni endapo hatajirekebisha na pia anaweza kukumbwa na mgogoro chamani kwa kuwa na kuwa na viashiria vya kuunga mkono upande wa pili...huu ni mtazamo wangu.
Mnyika amekuwa kimya nafikiri yapo yanayomsumbua moyoni tangu kipindi cha uchaguzi. Ni maombi yangu apone hicho kidonda aendeleze mapambano ya kulitetea taifa
Nassari yupo England anachukua masters ya international relations thats why yupo kimya co hayupo TZ kwa sasa
 
Nassari anajua kabisa Lowassa kishakubaliana na Mbowe Arumeru Mashariki apewe Sioi Sumari Mtuhumiwa wa Utakatishaji Fedha aliepo Mahabusu kwa Muda mrefu ambae pia ni Mkwe alieoa Binti Lowassa aitwae Pamela na Huyu Sioi aligombea na Nassari Enzi hizo yeye na Mkwewe Lowasa wakiwa CCM wakashindwa
Wewe mkulima uliyejifunza kusoma ukubwani Janjarooo yuko majuu anakula kitabu erooo, halafu huku AR huwa hatufundishwi uoga jombaa. No ni no na yes ni yes, hatunyi ndani eti choo kilomita 1, oleleee.
 
Mnyika anaumwa..baada ya kupoteza baba mzazi in kama alichanganyikiwa. Kuna vitu havipo sawa kwa mnyika but ni vya kifamilia. Pole sana Mnyika
Mbona watu walisema habari za ugonjwa ilikuwa propaganda za kisiasa
 
Mnyika anaumwa..baada ya kupoteza baba mzazi in kama alichanganyikiwa. Kuna vitu havipo sawa kwa mnyika but ni vya kifamilia. Pole sana Mnyika
Daaah!!
Ina niskitisha
Moja yawatu ambao sinah
shaka na upinzani wao ni John
M/Mungu amponye
 
Hapana

...hapana japo miye siyo daktari...but mwangalia Mnyika Huyu wa sasa hana tabasamu la mwisho
Mnyika yupo kimya kabla hata ya msiba wa baba yake na story za yeye kuumwa (kuchanganyikiwa) zilianza kipindi cha kampeni za ubunge 2015

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
 
Wale ni kama Leicester city....ukumbuke timu ya mashabulizi ile line up ilikua ni pamoja na,Kafulila,Mkosamali,Machali,Lema,Lissu, nk....sasa wengine hawapo..hawa waliopo wanakua muda mwingi wanatafakari zaidi upepo ulivyo
 
Mpaka karibu tunawasahau wakuu

Tumemiss zile hoja nzito nzito zikizokuwa zinawatingisha na kuwatetemesha wazee wa chama dola

Hata katika vita hii kubwa ya madawa ya kulevya hatujawasikieni

Kulikoni?
mbona bungeni kambana waziri mabula juzi kati hapa na muda si mrefu alikuwa huko jimboni kwake kukutana na wananchi wanodai fidia toka awamu iliopita........

kumbukeni muda mrefu bunge halikuwa live na pia mikutano ilizuiwa ndio maana hapati coverage kma ya 2010-15.
 
Siyo ujinga mkuu, ni sawa sawa na kuwabeza wanao taka kupaisgiwa madaraja ya mishahara kuna kitu kinaitwa morale, huwa kina pungua kwa au kuongezeka kwa sababu ndogo tu, yeye alikuwa ni moja ya wabunge seniors uadhan alijiskiaje wenzie walipo kuja tu, yeye kashushwa wao wakapanda
So uts okey, hata ungekuwa wewe unge react kama yeye, issue ya motivation ni pana kidogo lakin ni ya muhimu kwa mtu yeyote.
sasa kma haridhiki na lowassa kuja na anaona hawezi kufanya naye kazi si ajiuzuru arudi ccm ssa ni ya nni kulazimisha moyo wako kwenye sehem usioipenda........ ahame tu amfuate zitto aanze upya maana naamini kuna maisha nje ya chadema kma zito na kafulila waliweza bas hta yye ataweza
 
Sijawahi kukuunga mkono lkn huu ni ukweli...Mnyika ametajwa mara nyingi kuwa hakupendezwa na ujio wa EL lkn hakukubali au kukanusha, hivyo inaweza kuwa kweli.
Kuna watu wanapenda kusimamia wanacho kiamini, hivyo ikiwa ni kweli Mnyika ameitebdea nafsi yake haki na hapaswi kulaumiwa
mkuu kma kweli shida ni lowassa kuja au unaona hupendezwi na jambo flani ndani ya chama either jiuzulu kma lipumba au ukibaki basi support 100%. Haina maana unabaki shingo upande ni kukiua chama kma anaona mambo hayampendezi aondoke kma kafulila au zitto haina haja ya kubaki sehemu usioipenda.....
 
Mpaka karibu tunawasahau wakuu

Tumemiss zile hoja nzito nzito zikizokuwa zinawatingisha na kuwatetemesha wazee wa chama dola

Hata katika vita hii kubwa ya madawa ya kulevya hatujawasikieni

Kulikoni?
Hizi ni kazi za musimu au matukio. Wanasubiri tetemeko Bukoba au wanafunzi hewa wafukuzwe na Ndalichako. Hapo ndiyo utawaona.
 
Back
Top Bottom