esasa04
Member
- Apr 6, 2015
- 19
- 32
Katika pita pita zangu nikaambiwa huo ndo mjengo wa shujaa wa football TZ a.k.a Mbwana Samatha.
Lakini jamaa anakipiga tu huko Belgium hana hata sifa za kukirusha kitu chake kipya baada ya kuivunja nyumba yake ya awali iliyokuwepo eneo hilo la kisarawe II Kigamboni.