Na ww ni mmoja wa hao mashabiki?
Auba ametuokoa mara nyingi refer FA cup glory ila changamoto zake za nje ya uwanja ndio inaletelea form kushuka mara kwa mara.
Tumpe heshima yake anayo stahili.
Kijana naona una maumivu makali na Arsenal, kutwa ww ni kulaumu. Kwann uteseke?.
Kama unaona Arsenal haikupi furaha unayotaka, achana nayo ufanye au kufuatilia mambo mengine yatakayokupa furaha maishani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.