Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Mikel Arteta has taken Arsenal into three semi-finals in three different competitions in two years.
Aubamuyange kamfanyaje kocha mbona anakula sana bench sana
Yeah naona... Kuna switch kati yake na dembeleView attachment 2052982
nadhani shida ilianzia hapa
injury prone, mechi kumi ndani mechi 20 njeYeah naona... Kuna switch kati yake na dembele
aya ya kuifunga Sunderland ndo makombe yenuBaada ya kipigo cha 5 - 1 dhidi ya Sunderland mashabiki wa Arsenal wamekua wakishangilia wakisema wamemfunga mdomo Lee baada ya dhihaka zake.
Mashabiki wa Sunderland wanadai kocha wao alikua anatania hakua serious na ile kauli. Hivi ingetokea wangetufunga jana stori ingekua hii hii? Kwamba 'Tumeshinda ila kocha alitania?'
Mi natafuta interview ya kocha wao baada ya mechi




Usiwe muongo. Kombe la Arsenal ni kugawa dozi kwa vibonde vyake viwili cheltako na nyumbuaya ya kuifunga Sunderland ndo makombe yenu
Sent using motorola 78
Watu humu wanaogopa kutekwa ndugu yangu..wanafamilia wenzangu wa ARSENAL! mimi nipo ARUSHA, SAKINA, BANDA MAZIWA..tujumuike hata mara moja..
usiempenda kaja uyo ukonga na tavares wataharisha kundeUsiwe muongo. Kombe la Arsenal ni kugawa dozi kwa vibonde vyake viwili cheltako na nyumbu
Kwahiyo ni flop huyu?nilikua nawatamani nyie vibonde wa lukaku awaekelee mana anawaweza nyie2View attachment 2054047
Sent using motorola 78