Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilimaanisha kuhusu formation.

Timu nyingi zinacheza 4 2 3 1
Na sababu ya kucheza 4-2-3-1 ni lijaza sehemu kiungo. Unaposhambulia unakuwa na wanne na unapozuia unakuwa na watano plus hao watatu waliokuwa wanashambulia kama mfumo wa pressing ameuweka sawa. Unashambukia na watano na unalinda na nane as kuna box to noxid walio na speed yakutosha kushuka n akupandiaha team kwa wakati mmoja
 
Yea so ulivyodai pumzi imemkatia na anatumia formation ya wengi 4 4 1 1 ndiyi nikakuliza kama upo serious
 
tavares ana mapungufu mengi mno kam full back ,namuon he is more of a wing back..
 
Nicolas Pepe at £71m cost three times more than the entire Sunderland squad (£21m)
Kwa ligi ya uingereza siyo kwamba hiyo klabu ikikomaa kutafita mwekezaji itakua ngumu ila tatizo ni kwamba FFP inawabana sana. In fact timu inayoshuka daraja inabidi iuze mastar kwakua wage bill yao itavuka matakwa ya FFP
 
Ni Arsenal pekee ndiyo imekutana na timu isiyo ya ligi kwenye EFL?

Huko kwingine uliwahi sikia wakifananisha gharama za vikosi?

So ndiyo kwanza unasikia hapa unadhani kwanini?

Kwa sababu Arsenal is winning na kila inaposhinda wanatafuta sababu ya Arsenal kushinda. So utasikia Covid, timu pinzani ilipitiwa, kikosi cha wapinzani ni cha gharama ndogo n.k. simply wanataka isionekane kocha kajitahidi kwa kiwango gani.
 
Mnamo 2015, Arsenal ililipa Luton takriban pauni 10,000 kumnunua Charlie Patino

Kiasi hicho kilikuwa kikubwa sana kwa kijana ambaye alikuwa na umri wa miaka 13 tu wakati huo na leo mwaka 2021 anashiriki kwa mara ya kwanza Katika kikosi cha kwanza na kufunga ndani ya muda mfupi .

Safari nyingine ya kipaji cha Kiingereza inaanza sasa

1640130642404.png
 
Back
Top Bottom