Tukivuka salama katika mechi hizi mbili, Top four ni yetuNext two games against wolves and city will be at home. Tuna nafasi nzuri kuifukuzia Chelsea kwenye nafasi ya tatu!!
Next two games against wolves and city will be at home. Tuna nafasi nzuri kuifukuzia Chelsea kwenye nafasi ya tatu!!

ushindi wa Norwich usikutie kiburi cha kuwaza title contender wew focus na middle team kama westham ukoNisome tena mkuu, hakuna niliposema sisi ni title contender. One game at a time mzee!ushindi wa Norwich usikutie kiburi cha kuwaza title contender wew focus na middle team kama westham uko
Sent using motorola 78
kumtaja chelsea2 tayar ushajiingiza kwenye title contenderNisome tena mkuu, hakuna niliposema sisi ni title contender. One game at a time mzee!
Tunakimbiza mwizi kimya kimya, Chelsea yako hii hapa.Hongereni sana, naona mmefufuka kutoka katika wafu. Kwa hiyo auba ndiye alikuwa anauza timu!
Hahaha, mkuu Chelsea sasa yupo points 3 mbele. Man city yupo 12points, unaweza kuona tofauti.kumtaja chelsea2 tayar ushajiingiza kwenye title contender
Sent using motorola 78
And you were already insulting everybody mkuuThe Gunners cruising at Carrol Road 0-4
Huyo chelsea kwani ni title contender?🙄🙄🙄kumtaja chelsea2 tayar ushajiingiza kwenye title contender
Sent using motorola 78
More will comeThis is our biggest win of the season so far
Na baadhi ya wanaojifanya wanajua mpira kuliko Arteta and Co wakasema eti westham ni top four contendersHii West Ham ndiyo kuna vinega vilikua vinakuja humu kututishia kisa wao walishazamishwa.
Vitu vingine ni vigumu kuviamini ila viliwahi kutokea.
Like we can score another more than 5 nil!? I don't want to believe it but am tempted 😅More will come
Nakubaliana na wewe.Tusijisahau.
Baada ya game ya Everton Auba gets dropped, kulinda goli moja gets thrown outta window and goals starts flooding in.
The only problem is those goals have come from middle table teams am not sure if we have got the muscle to pull it off against traditional top 6.
Tuna tabia ya kuzubaa (Xhaka) a game against Wolves ni kipimo cha nini tutarajie dhidi ya City.
Twende sasa.

We are the gunnersHongera kwenu wakuu. Naamini yule mwamba aliyekaanzisha uzi kuwa 'anaacha rasmi kuishabikia Arsenal', atakuwa anatafuta namna ya kutengua kauli sasa.