Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,307
Na ww ni mmoja wa hao mashabiki?Mashabiki wengi wanaamini Auba ni mzigo. Kwamba alikua anaizuia timu kushinda
Auba ametuokoa mara nyingi refer FA cup glory ila changamoto zake za nje ya uwanja ndio inaletelea form kushuka mara kwa mara.
Tumpe heshima yake anayo stahili.