WAhi tcu kabla muda haujaisha sasa. utoto wa mmsiwez kuchagua ualimu umekutoka eh. ACHA UFNYU WA MAWAZO WEWE UNADHAN MWAlimu anweza kuwa mchum mahiri kwa crash? unata ukaeneze u ji.nga wako?
angalau wewe ndo una point afadhali na tbc1 inatangaza bila kufuata ukanda.tv nyingine hazijawahi kurusha bunge eti tv ya taifa.ubaya wa tbc ni kutopatikana kwenye dish 6" tu
NAKMBUKA kinana alishatoa miez4 sita maden yote ya walm yalipwe lakn wuda huo umeisha bado mwanza hawajalpwa (sengerema) je yuko tayari kufuta kauli yake?na kuwawomba radhi waliO mtumain?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.