ITV kutokuwa hewani kwa muda usiojulikana!

ITV kutokuwa hewani kwa muda usiojulikana!

Kuna issue gani tena? Nahisi itakuwa kampeni ya TBCCM kuwalazimisha watanzania waitizame baada ya kupoteza mvuto kwa jamii. Lakini hata hivyo, sitegemei ku-tune TBCCM. Kama Star TV itakuwa haipatikani, ni afadhali kuzima TV na kulala.
 
Back
Top Bottom