Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,984
duh!itakuwa pigo kubwa sana cdm
Hii ni kwa mujibu wa tangazo lao wenyewe kabla ya kusitisha matangazo yao saa nane mchana hivi kwa walichoeleza ni matengenezo.
bora nilishaanza kusema tamthilia yangu ndo naikosa hivyo.wamerudi hewani.
bora nilishaanza kusema tamthilia yangu ndo naikosa hivyo.
M4c daima
ITV daima
Tanzania daima
Kwangu mm hainihusu maana nichombo cha propaganda za CHADEMA
Hii ni kwa mujibu wa tangazo lao wenyewe kabla ya kusitisha matangazo yao saa nane mchana hivi kwa walichoeleza ni matengenezo.
Kwanini hawajawahi kuonesha mambo yenye tija? Mf soccer.bunge,nk hata wazme daima