Pendekezo: Sam Mahela awe mfanyakazi bora 2012/2013

Akisha pata huo ufanya kzi bora yatamtokes kama ya herry muro,

Baada yakupata tunzo ya mwana habari bora akazushiwa mambo ya ajabu ajabu ilitu kumuua kihabari,

Kwa ma piiii piiii piiii yangu nikwamba bora abaki hivyo hivyo ilitufaidi habari zake,

Jerry Muro
 
Yaani kwa SAM MAHELA ninaomba tena dunia imtambue na si kwa IPP media tu. Ninakuomba Sam popote ulipo, tengnez story mojawapo ya haya matukio ya jamii na upost Multi-Choice CNN Award ile inatolewa kwa waandishi kila mwaka na utashinda kwa kishindo. Very Dedicated employee!! Mengi ukimpoteza tena huyu basi imekula kwako maana Mengi wewe Retaining inakushinda!!! Mama Joyce angalia sana unapoteza dedicated staff sana, wape mkataba na mishahara ipasayo!!!
 
Ni kweli anastahili pongezi kwa kuripoti matukio tata yaliyojificha lakini alichofanya leo sio sahihi.

Simpi credit kwa kushika mifuko ya vinyesi with bare hands. Ile si dalili ya upendo bali ni dalili ya kukosa umakini. Hakuwa na sababu yoyote ya kushika mfuko ule wala kuji-expose kwenye mazingira machafu ilhali hajui mgonjwa yule anasumbuliwa na maradhi gani.

Next time anapaswa kuwa makini. Huwezi kuonesha upendo kwa wife wako kwa kujipaka damu zake za hedhi usoni
naikubali kazi ya Sam Mahela lakini pia hoja yako inabidi izingatiwe.
 
Kwa kweli Sam anagusa maisha ya watu moja kwa moja
Watu kama hawa wakiwezeshwa kuwa na NGO's za kusaidia jamii wanafaa
Hata kama atakula, lakini kuna baadhi ya maisha ya watu atayagusa maana anaonesha ana moyo huo
 
Umofia kwenu wana bodi,

Poleni ambao hamna umeme ila kwetu wakukinga huku,Nimekuwa nikimfatilia huyu mtangazaji wa ITV Sam Mahela kiukweli jamaa anastahili tu(n)zo ya mfanyakazi bora wa mwaka 2012/2013 ndani ya Ipp Media, Nimeona hilo kutokana na kufanya mambo ambayo hata wengine hawawezi, moja ya matukio niliyoyaona ni lile la mama alivimba na mguu na jingine ni la leo ambalo mzee aliyetelekezwa na wanae miaka 8 na anajisahidia mumo ndani ya nyumba lakini jamaa aliingia na kushika mifuko iliyojaa nnya na kufungua maplastiki yaliyojaa mikojo(with bare hand)! Mengi tunakuomba umpe mfanyakazi bora wa mwaka 2012/2013.

Nawasilisha.

Mungu angekuwa na mawazo ya kibinadamu kama yalivyo ya kwangu, huyu mtoto angepewa tiketi ya kwenda mbinguni,..., yaani anaonekana anajali sana watu hasa wenye shida. Amechangisha hadi pesa yule mama anaumwa mguu karibia anaondoka kwenda kwenye matibabu hospitali ya Appollo, jana pia kasaidia kuonyesha umma wa watanzania baba fulani amekuwa abondoned anakojoa na kujisaidia kwwenye ndoo ndani ya nyumba!
 
Umofia kwenu wana bodi,

Poleni ambao hamna umeme ila kwetu wakukinga huku,Nimekuwa nikimfatilia huyu mtangazaji wa ITV Sam Mahela kiukweli jamaa anastahili tu(n)zo ya mfanyakazi bora wa mwaka 2012/2013 ndani ya Ipp Media, Nimeona hilo kutokana na kufanya mambo ambayo hata wengine hawawezi, moja ya matukio niliyoyaona ni lile la mama alivimba na mguu na jingine ni la leo ambalo mzee aliyetelekezwa na wanae miaka 8 na anajisahidia mumo ndani ya nyumba lakini jamaa aliingia na kushika mifuko iliyojaa nnya na kufungua maplastiki yaliyojaa mikojo(with bare hand)! Mengi tunakuomba umpe mfanyakazi bora wa mwaka 2012/2013.

Nawasilisha.

Kwanza tumtie moyo sisi ambao tumeona umuhimu wa story hiyo kama hivi ulivyofanya wewe kuja na hii thread. Nina imani hata mengi akiona tulivyoijadili hapa jamvini lazima atastuka.
 
Naheshimu maamuzi yake. Lakini ni ujinga kuhatarisha maisha yako kwa vitu ambavyo ktk nchi kama Tanzania huwezi hata kuitwa shujaa. Ngojea na huyu asije bambikiwa kesi kama ya Muro, hapo utakapogusa maslahi ya wakubwa. Time will tell
 
huyu kijana kwa kweli ana stahilu sana nilishawai kuonana naye kwanza ni mtu anaye hiamin na kazi yake ni mchapa kazi mzuri ana fuatilia habari na kupata ukwel wake hakika ana stahili sana na tuzo hizo zitolewe kwa watu makini kama huyu jamaa napendekeza apewe tuzo ya mwana habari bora wa mwaka kwakweli,
 
BILA SHAKA ITV WANA VIGEZO VINGI VYA KUMPATA MFANYAKAZI BORA MAHELA ANAFANYA VZURI KWENYE KGEZO KIMOJA TU HABARI ZAKE ni aina ile ile
 
I Agree with you,halafu habari zake nyingi anazirusha kishabiki sana na kushindwa kuzuia hisia zake kuwa anatumiwa na upande wa pili baada ya kupokea chochote, ziangalie kwa makini habari zake utaona anabase kwa waliomlipa,na mara nyingi hafuati maadili na sheria za uandishi wa habari ndiyo maana ile habari ya mahakama aliyorusha kwa kumdhalilisha yule hakimu ITV walilazimika kuomba radhi coz sheria za kurusha habari za kimahakama zilikiukwa,Pia ni mtu anayependa kutumia Media kuhamasisha umma ili apate habari pasipo kuangalia madhara yanayopatikana kutokana na habari anayoitengeneza angalia kuna habari moja ya Mikocheni watu walifikia kuwachoma moto watu wakidaiwa vibaka kwa hamasa zake alizozitengeneza apate habari,ITV sio wajinga sana.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
du basi majanga
 
Maneno mawili tu duniani
(Hasi na Chanya)
 
Jamaa ni Jembe Sana,Big Up sama Mahela ipo siku utakula tu(n)zo.
 
he is the poorest reporter.,

aende Congo.,,.

Anaripoti ukuda ukuda wa uswahilini.
 
Umofia kwenu wana bodi,

Poleni ambao hamna umeme ila kwetu wakukinga huku,Nimekuwa nikimfatilia huyu mtangazaji wa ITV Sam Mahela kiukweli jamaa anastahili tu(n)zo ya mfanyakazi bora wa mwaka 2012/2013 ndani ya Ipp Media, Nimeona hilo kutokana na kufanya mambo ambayo hata wengine hawawezi, moja ya matukio niliyoyaona ni lile la mama alivimba na mguu na jingine ni la leo ambalo mzee aliyetelekezwa na wanae miaka 8 na anajisahidia mumo ndani ya nyumba lakini jamaa aliingia na kushika mifuko iliyojaa nnya na kufungua maplastiki yaliyojaa mikojo(with bare hand)! Mengi tunakuomba umpe mfanyakazi bora wa mwaka 2012/2013.

Nawasilisha.

Aisee kumbe mkuu King ulikwishatoa pendekezo huyu jamaa atunukiwe ufanyakazi bora toka 2012!!! Sasa alipewa kweli au alinyimwa? Naomba jibu. Leo hii kuna jamaa kaja na thread kuwa huyu jamaa ni mfano kwa waandishi wa Tz, nami nime-msupport 100% na nimeenda mbele zaidi kuwa huyu jamaa tuombe sisi kama wana jamii apewe tuzo ya Mwandishi bora wa mwaka 2014 kwani anatoa habari zinazoigusa jamii na kuisaidia, hasa wale wenye matatizo
 
Back
Top Bottom