Recent content by Engineer Mohammed

  1. E

    JamiiForums Tanzania Buriani Amina Chifupa!

    INALILLAHI WA INA ILLAHI RAJIUNA......mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu. mpakanjia...pole sana.
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mzee Es.... wengine tupo bado na timu zetu zile zile za zamani,unakumbuka zama za MALINDI SPORST CLUB ya zenji? tulimifanya nn PAMBA YA MWANZA kule CCM KIRUMBA?hahahahaha na kutwaa ubingwa wa MUUNGANO? enzi zile lkn pamab ilikuwa inatisha sana akina fumo felician,khalfan ngassa etc...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    mungu ampe uzima wake,sisi waumini wa kiislamu tunaamini kuwa unapoumwa basi allah( s.w) anakuwa anakusafisha na madhambi yako,lkn zaidi tunaamini kuwa ukiwa mgonjwa basi mungu anakupenda zaidi anakuletea maradhi anataka umkumbuke na yy manake ukiumwa lazima utakuwa unamtaja mungu,so dada amina...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wanene kuongezewa marupurupu

    nungwi... kaka maneno ulosema ni kweli kabisa hata na mie nakuunga mkono,data za ZITTO zinatosha tena ama vipi mkuu?mswahili ana data nyingi kali sana mie amenimaliza sana pale aliposema kuhusu issue ya znz univ na wale best students alowataja duh pale nimemvulia kofia muungwana mswahili...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Wanene kuongezewa marupurupu

    mswahili...... duh mkuuu unatisha kwa data,mie mkuu naomba nikwambie yafuatayo....uliyosema yanatosha mkuu,mie naamini ww ni muislamu,na huyu mheshimiwa ZITTO na yy nimewahi kusikia kuwa ni muislam,mswahili turejee ktk maundisho yetu ya dini"ukimstiri muislam mwenzako na ww mungu...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wanene kuongezewa marupurupu

    mzee Es ama kweli mwaka huu KUMKOMALIA NYANI,respects to you mkuu and others member.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wanene kuongezewa marupurupu

    nungwi.... umemaliza kila kitu hapo,chukua 7 kwa maneno yako.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zanzibar itakuwaje 2010?

    mtumwitu....... mie naona ipo haja ya CCM kuanza kubadilisha katiba ili angalau rais awe anakaa miaka 7 badala ya mitano,kuhusu suala la znz mie naona kuepusha majungu,mizozo na mvutano bora RAIS KARUME aendelee na kipindi cha tatu. naomba kutoa hoja!!!!!!!!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    mtumwitu........... duh maneno makubwa hayo,mbona unanitisha?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Jemba Jemba... mkuu kama unayo original documents za MUUNGANO wa TZ na ZNZ hebu nitumie ktk PM. Mtumwitu.... unatisha utafikiri maradhi ya KIFAFA mkuu kwa info zako,heshima mbele tuendelee kukata issue.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    mtumwitu...... kazi kweli kweli ktk masuala ya MUUNGANO,lkn mie JK anaweza kulirekebisha hili suala na kupatikana MUAFAKA. Dua..... unajua ndugu tatizo kila mtu anaona anaonewa,wabara wanaona wao wanaonewa kwani wanaona wanaibeba znz,wa-znz na wao wanasema kama tunakuoneeni tuwaacheni...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    mkandara............. duh hiyo statement ya mwisho sijafahamu mkuu,KUULIZA SIO UJINGA.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    chinga...... mkuu heshima yako.kimya chako kinakuwa na mshindo.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    jasusi..... itawezekanaje kuwekeza pemba ilhali hakuna maji,umeme,barabara etc?hiyo ni ngumu ndugu yangu,maendeleo yanakuja haraka kutokana na kupatikana na huduma muhimu kama hizo. JJ....... leo nimepata nafasi ya kujibu baadhi ya hoja,majukumu ndugu yangu ya masomo yananifanya...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kwa nini KIMEI wa CRDB anataka awe GAVANA wa Benki Kuu? ANAFAA au HAFAI?

    PM.....POINT NOTED and well understood,i reserve my comments. hilo la presidential appointee duh asante kwa kunifungua macho itabidi na mie nijikaze nimalize master yangu hapa nirudi zenji insh huenda na mie ukasikia mkurugenzi au PS w/mawasiliano...hahahahahahahahahahhahaha joka kuu...kwa...
Back
Top Bottom