Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

duh ni miaka mingapi mkandara hujatia timu bongo? maana hali hiyo unayoieleza toke 95 nilipoondoka ilikuwa ni hivyo hivyo

kiasi huku mtu aone haya hata kusema mtanzania
 
Mtukwao,

Ndugu yangu hiyo 95 nilikuwepo Bongo haikuwa hivyo kwa sababu mzee Mwl. alikuwa bado hai na tetesi zinavyoelekea hata kifo chake kimetokana na ukweli kwamba Mkapa asingekamata awamu ya pili kama mwl. angekuwa hai. Ni nyerere aliyeyafanya makosa yoteee! ktk teuzi zake za warithi hilo wazi na ndoo maana mwl hakuwa mzuri hata uchaguzi wake wa wanawake. Heeee heee hee!

Hata hivyo haimfanyi yeye kuwa mjinga, kiongozi mbaya ama mpumbavu. Mwaka 2000 pia nilikuwepo na kama wewe upo ktk vijiwe vyetu utakumbuka kuwa niliwahi kuandika mengi ya wakati ule kule bcstimes. Kwa hiyo haya nayoyaona leo ni mageni kabisa. Mkapa alikuwa na nguvu kubwa sana kama rais na hakuna maamuzi yasiyokuwa na mkono wake ikiwa ni pamoja na mikataba yote.

Leo hii migawanyo ya mali zote imeisha kamilika, kila kiongozi ana nafasi yake ktk miundombinu, vitega uchumi na kadhalika. Vodafone kashika Rostam na Lowassa, mpumbavu kama mimi huwezi tena kuleta shirika la kupinga unyonywaji wa wananchi ktk muundombinu huo, haikuwa hivyo miaka mitano iliyopita. Umeyasikia ya Citywater, Richmond, n.k ni mambo ambayo yametengenezwa miaka mitano tu ya utawala wa Mkapa na leo hii ndio matunda tunayaona na lawama zetu zinaanzia kwa JK.

Kwa hiyo brother, nambie jingine mji naujua vizuri kwa kila mishen zinazotembea mjini... mwaka 95 nyumba za Kariakoo zilikuwa zikuzwa kwa dollar elfu 20 tu leo hii bila Laki 2 hujaitoa kibanda tena ktk mtaa usiokuwa maarufu....Manji kununua Coco beach ni swala ambao halikuwezekana miaka mitano iliyopita... kwa hiyo uuzaji unaozungumzia wewe ni ule wa kuuza mali za serikali ikiwa ni pamoja na viwanda, mashirika ya Umma n.k. Huko wameisha maliza sasa hivi ni ARDHI... umilikaji wa ardhi ni sheria ambayo imetungwa baaada ya wao kushika majumba yote muhimu mijini... Urithi usiokuwa na nasaba!..lakini wajomba nyie bado tunatazama huduma za serikali hii kama ndio chimbuko la rushwa zote.

Hizo hoja za ufujaji wa mali za serikali na utumiaji mbaya wa madaraka kwa baadhi ya viongozi ni mchanga wa macho mnatupiwa ili akili zenu zianze kufikiria nje ya urithi huu unavyogawanywa. At the end of the day kila mlalahoi hatakuwa na kitu zaidi ya kibanda huko Kitunda, Yombo na Mbagala.
Hata hivyo bado nitasema uwanja upo wazi sana.. tusikate tamaa kwa haya yote pamoja na kuwa mafia inayotawala nchi ni kubwa kuliko uwezo wa JK. JK kashindwa kabisa ku deliver kwa sababu hana ubavu kabisa!...Atasema kila analoweza kusema kama rais lakini kuwa watu untouchable!... He knows that na hakuna cha sheria ya rushwa wala mjomba wake itakayo wagusa.

Majuzi tu umesikia waziri akisimama bungeni na kupinga Bunge kuhoji ama kupitia mikataba kwa mara ya nne!..Na hakuna hata mbunge mmoja anayeweza kusimama na kuipeleka hoja hii kwa rais kama ni SAUTI ya WANANCHI. Tunacholilia ni kuwepo kwa sheria ya rushwa ambayo kirahisi sana inaweza kutenguliwa na bakshish (commission) . Nikiwa na maana kama kisheria nimepewa commission ya 2 mil kwa ununuzi wa Rada basi mimi sikufanya rushwa. Na ikiwa nitatumia fedha zaidi kupata tender fulani (takrima) sidhani kama mpokeaji atakuwa kapokea rushwa kulingana na mapendekezo ya wengi.

Mtu kwao Bongo imeharibika vibaya sana na kila kona kuna kula ya watu, huwezi kuja na vijisheria vyako kuziba riziki za watu. Nitaandika mengi sana zaidi nitakapo rudi kwa uwazi zaidi.. lakini bob Bongo leo hii kiuchumi ni sawa na nchi yeyote yenye vita kasoro yake ni kwamba hakuna mitutu ya bunduki. Bongo ni ghali kuliko nchi yeyote ya magharibi imefikia hata chakula. Mayai tray moja dollar 3.50 kwa mayai 30, kuku hao wenu wa kizungu elfu 4.5. Kuku ambao wa nyama hawawezi kutaga mayai na wale wa mayai hawawezi ku kutotoa vifaranga na wale wanaoweza kutotoa vifaranga ni kuku maalum. Jamani kweli umewahi kusikia viumbe wa namna hii? Cancer ndio inatumaliza! Samaki kama sato (tilapia) ni sh 3200 kwa kilo.

Mengineyo mtajaza wenyewe nakuachieni Bongo mjomba samahani sana!

Mzee Mwanakijiji nitwangie simu mjomba tuongee mengi kwa kirefu zaidi.
 
Mlalahoi Yai ,nyama kuku na tilapia imekuwa anasa kwao yaani hana uwezo wa kuvila tena kwani uwezo wao kutokana na kipato cha kutwa kutoka asubuhi mpaka jioni ni dola moja kwa wenye kibarua.
 
Huyo Mkandara sasa kawa mpiga porojo. Hii ya Mwalimu angekuwa hai Mkapa asipata awamu ya pili ni kali ya mwaka! mmh Mwalimu hakuwa mzuri ktk teuzi za wanawake? mmh fafanua hapo una maana wake zake au viongozi wanawake?

Na hii ya Richmond kutengenezwa ndani ya miaka mitano ya Mkapa, heeh mzee taratibu basi Richmond na Mkapa wapi na wapi? inaelekea Mbu washatkung'ata sana na malaria inapanda kichwani huko, fanya mpango urudi mzee naona wamwaga pumba tu, yaani sio wewe kabisa!

Hey? hivi Manji kanunua Coco beach! Makubwa!

Haya bwana tuburuze tu.
 
kanda 2
ahsante mkuu kwa maswali amabyo the same same nilitaka kumuuliza mkuu mwenzetu MKANDARA,

ila nimesikia kwa sasa bongo mvua kali, kwa hiyo mazalio ya mbu na hasa kwa kuzingatia mji ulivyo yameongezeka, uwezekano wa kupata maralia upo.

nnamuomba bob MKandara afanye arudi mbio maana na cholera wakati wowote huenda ikatrigger, mzee njoo mbio uje upumue.

na kuna moja hujaliserma, bob anatwambia kuwa mangi atayaeleza akirejea, jee wamafiya wamemtishia maisha yake nini? au anaogopa watamdito?
 
Kama huna cha kuchangia kaa kimya. Mkandara yuko likizo bongo na muda anaopata anatuhabarisha ya huko nyumbani na muda wake ni mchache sana kwani ana shughuli nyingi huko Tanzania kwa hiyo kitu cha kwanza ni kumpongeza angalau anaandika hayo yaliyo kule na anaufahamu mpana wa mambo huku nje na nyumbani. Mimi na wengine tunafaidika na hii information ya Vibaka kuharibu kila kitu kule nyumbani, vile vile alisema atakuwa anarukia hoja. WHAT IS YOUR PROBLEM?
 
Huwezi jua inawezekana shangazi na wajomba wameguswa pabaya, ndio maana wapwa inabidi waje hapa mbio mbio kuhakikisha vitu zaidi havimwagwi hadharani.
Mkandara asante sana kwa utafiti wako usio rasmi. Hayo ndiyo maisha yetu Watanganyika. Manyang'au wanaitafuna nchi bila aibu. Tatizo la Wadanganyika tunaishi leo kesho hatuna habari nayo kabisa. Hivyo mzazi kutompatia mwanae elimu si tatizo maana mambo ya kesho hajui.
Na ni ukweli uliowazi kuwa nchi yetu imechoka vibaya kama nchi nyinginezo zilizoko kwenye vita.
 
Kama huna cha kuchangia kaa kimya. Mkandara yuko likizo bongo na muda anaopata anatuhabarisha ya huko nyumbani na muda wake ni mchache sana kwani ana shughuli nyingi huko Tanzania kwa hiyo kitu cha kwanza ni kumpongeza angalau anaandika hayo yaliyo kule na anaufahamu mpana wa mambo huku nje na nyumbani. Mimi na wengine tunafaidika na hii information ya Vibaka kuharibu kila kitu kule nyumbani, vile vile alisema atakuwa anarukia hoja. WHAT IS YOUR PROBLEM?

Kama huna wewe cha kuchangia ndio kaa kimya.

Yaani tumpongeze kwa uwongo wa mchana? Miaka mitano ya Mkapa katengeneza Richmond? Mwalimu hajui kuchagua wanawake? ndio michango yenyewe hiyo. Kama ufahamu mpana wenyewe ndio huu basi ni uwongo wa mchana!

Huna huja kwenda ktk utafiti kujua kama anachoongea ni load of rubbish, namheshimu sana Mkandara kwa michango yake, but Im afraid of recently he has been below par.

The fact yuko Bongo sio ndio authority ya kumwaga pumba! Hakuna cha shangazi wala mpwa hapa jembe liitwe jembe.
 
Ingawa baadhi ya watu wanahoji kuwepo kwa muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar juu ya moja ya pande hizo kunufaika zaidi kuliko nyingine lakini ukweli utabaki pale pale kuwa muungano ni muhimu! itakuwa ni jambo la ajabu wakati wenzetu wanafanya jitihada za kuungana sisi tunataka kujimega.
 
Dua,

Unajua ndugu yangu Wadanganyika wapo wengi sana na huamini vitu kama vile dini!.. Huyu makanyagio Kanda 2, hana hoja na nashukuru dugu Tabasamu kamtaarifu kuhusu swala la Sokoine. Nisingependa kurukia mada ambayo imefika mbali sana na sioni sababu kabisa za kumzungumzia marehemu ambaye he won't change a thing leo hii,lililobaki ni sisi tumwombee dua.

Nitakupeni mkasa mmoja, Majuzi nilikuwa ktk kijiwe kimoja ambacho watu walikuwa wakitazama mpira kwa kupitia Luninga. Mimi nilikuwa nimekaa upande wa pili ambako kulikuwa na jamaa mwenye redio akisikiliza nae mpira. Mara group lote la upande wa Luninga waliondoka na kuja huku kwenye redio ikabidi niwaulize -V ipi wajomba, Yanga kayanywaa!...

wakanijibui aaah mpira wa TV boring bora huku kwenye redio!

Sasa ikiwa watu wanadiriki kusema redio ni bora kuliko kitu ambacho kinawapa mchezo LIVE, kweli kuna haja wa kubishana na watu kama hao?

Ndugu Kanda 2, deal la Richomond limjeanza wakati Kreist akiwa Mayor wa jiji. Huyo mhindi aliyewafunga goli amekulia mtaa wa Kipata ambao leo unaitwa Kreist, namjua vizuri - sasa wewe nambie huo ulikuwa wakati gani?..

Tatizo lako ni pale unaposikia jina la Mkapa likitajwa na sii JK bila kuelewa kuwa hawa viongozi wote walikuwepo madarakani wakati wote, nothing has changed isipokuwa nafasi zao za utendaji kazi. Unachotaka kusikia wewe ni mpira wa redioni wakati sisi vijana wa mjini tunaipata LIVE!...Kosa langu sema nimtaja huyo kiungo wako ambaye wewe unamtazama kama mchezaji bora..Ubora ambao tunapigwa magoli kila siku!

Kazi kweli kweli na ndio maana nasema Tanzania ni Tatanic imeisha zama na sasa kinachobaki ni mabishano na tegemezi la kuokolewa!...wewe subiri sisi wenzako ndio kwanza tumo ndani ya safe boat na tunapiga kasia... haooooooo!..

Karagabaho na hizo zenu - Usalama wa mtukula!
 
Mkandara,

Taratibu na uwongo wa mchana. Richmond imekuja wakati wa crisis ya umeme baada ya Kikwete kuingia madarakani. Si kweli kuwa ilikuwa wakati wa Mkapa unless unazungumzia IPTL na ambayo pia ilikuwa wakati wa RUKHSA!.

Kama ndio kupata kwenyewe LIVE ndio huko, nadhani unatumia antenna ya mbao!. Huyo Mayor Kleist nae alishaondoka zamani, kwanza Mayor na umeme wa dharura wapi na wapi?

Mkandara acha kutuongopea kuwa Bongo huku sio licence ya kutuburuza unless unataka kumnyofoa EL na Richmond au ndio upo ktk mkumbo wa gazeti la rai kuwa EL alimshauri Msabaha kuhusu Richmond kutuondoa wadanganyika ktk mada.

Haya endelea kumwaga tu pumba zako.
 
Kanda2,

Wee baki na huo mchanga wa macho ulotupiwa. Ma deal Bongo huanza mbali sana na sio wakati tatizo linatokea. Leo hii kuna kila mbinu ya kuua Tanesco... ...............watu wameisha sign mikataba tayari unachokiaona leo hii ni kile wanachokiita wenyewe FITNA.

Yaani hakuna deal linalotembea bila kwanza kutafutiwa sababu ya utekelezaji mbovu. Tanesco wana kila uwezo wa kuwa na nyaya, metre za kisasa na milingoti kueneza jiji zima isipokuwa wachawi ndio kwanza wanazidi kuididimiza. Kesho utasikia Tanesco ni private co. Fire dept. inaweza kabisa kufanya kazi isipokuwa kuna makampuni ya vizito yamewekesha ktk hizo Security ambazo pia zinatoa huduma za zima moto. Yote haya huchukua muda. Na nina hakika huna habari hiyo tenda Richmond waliiwakilisha lini jina lao ktk orodha ya mashirika ambayo yaligombea tender. Unachohesabu wewe ni lini Richmond wamepewa tender na wala usijiulize kuwa hao Richmond wasiokuwa na mitambo wameweza vipi kujioroidhesha hali wakifahamu hawana mitambo wala ujuzi wa kazi hiyo........

Tatizo la Umeme halikuanza wakati wa JK limeanza siku nyingi Mkapa akiwa madarakani, na wakati wote lilikuwa likisukiwa deal. Msabah hakuanza jana wala huyo Lowassa ambaye deal la Citywater alilijenga yeye. Tatizo lako bado mshikaji unasikiliza sana redio...

Basi nakwambia hivi hata hilo deal la kusafisha na kusafirisha mafuta Mwanza ambalo wewe utakuja lisikia miaka mitano ijayo kuwa tayari watu wameisha jua nani kalisuka....na nani mwenye hisa kubwa achana na hao waarabu bandia toka Qatar. Bongo hii mjomba....ukiona vinaelea vimeundwa!

Huo usalama wako wa mtukula mjomba hauna nafasi penye ukweli. Si swala la Mkapa wala JK au nani ila ni swala linalotuhusu wote chini ya utawala wa CCM.
 
Richmond Development Corporation waliingia Tanzania kwa gea ya kutaka kujenga bomba la mafuta Dar-Mwanza. Serikali ya Mkapa ikasaini nao mkataba na kuwapa muda watafute fedha, na kuanza kazi.

Muda ukapita na hakuna kilichoonekana toka kwa hawa jamaa. Ninavyoelewa mimi walishindwa kupata fedha kwa ajili ya mradi wao.

The next thing, nasikia wameingia mkataba na serikali ya Kikwete kuagiza majenereta, na wanapata mkopo toka benki ya Tanzania, CRDB!!
 
Mkandara,

Nitaendelea kubaki na mchanga wangu wa macho mpaka utakapo nithibitishia (japo kwa mbali ) Mkataba wa Tanesco na Richmond uliosainiwa June 23, 2006 Rais mstaafu Mkapa na Mayor mstaafu Kleist Sykes wanahusika nao vp.

Labda tu nikukumbushe hapa, kuwa tatizo la umeme halikuanza wakati wakati Mkapa bali Alhaj Mwinyi.

Deal la kusafisha mafuta nimeshalisikia kuwa mkataba umesainiwa na Mh Ngasongwa Dodoma kimya kimya! need I say more..?

Nakubaliana na wewe suala hili ni letu sote, ila napingana na wewe kuwa huu "usalama" wangu wa Mtukula hauna nafasi, si kweli kwani wanipatia kula yangu na wanangu.

By the way hujapata nyingine nyepesi nyepesi huko?
 
Nawe kanda2 si basi yameisha! wapenda kuadhiri watu tu. Tunawajua Yanga nyie bishana mpaka ufe! (joke bro)
 
Kanda2,
Eeeh bwana wee unaelewa kiswahili ama ni lugha ya kigeni kwako?...
Kusainiwa mkataba haina maana ndio kwanza mpango umesukwa. Kwa taarifa zaidi Tanesco wenyewe ni victims tu, walilazimishwa kuweka mkataba baada ya uchunguzi wao wa awali kuwatoa nje Richmond. Mchezo mzimai umepigwa na Wizara ya Nishati na Madini, Wizara ya Fedha na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. nitarudia kusema hivi ukiona vinaelea vimeundwa ndugu yangu ama bado huelewi kuundwa kuna marefu yapi... maswala haya huchukua miaka bob sii siku ama ujenzi wa hizo antenna za mbao!...
Hata hivyo pole sana kwa kusimamia kazi kubwa inayokupa kula na wanao sawa na wale wanaokaa mlangoni kuzuia watu wasibinjuke ktk party hali wanaofurahia party wako ndani..
Nimesharudi mjini kwa hiyo utanisikia sana!
 
Mkandara,

Its nice to learn dat ur back.

Kiswahili ndio lugha yangu ya kwanza, nathubutu kujibodoa kuwa nakijua vizuri.

Bado nasubiri majibu yako kuhusu kuhusika ( japo kwa mbali ) kwa Mkapa na Meya mstaafu Sykes ktk deal la Richmond.

kulinda geti ktk party ni sawa as long as at the end of the day mkono unaenda kinywani bro.
 
Back
Top Bottom