Recent content by Engeneer Emma

  1. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akifanya kazi ofisini kwake Ikulu kwa mara ya mwisho leo tarehe 4 Novemba, 2015

    Ofisi ya Ikilu iko simple sana hadi nimeipenda.kumbe mh.rais hatumii laptop ye anatumia desktop nimeona hapo kulia kwake!
  2. E

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    Huko ni kuchanganyikiwa kwa viongozi wa UKAWA.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kibarua cha Wasema kweli kinaisha Kesho baada ya sheria za mitandao kuanza.

    Hii nimeipenda mnoooo.maana si malofa tukipewa nafasi huwa tunapitiliza!.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Masai na mwiraq wapi na wapi?.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Smartphone kuzima screen wakati wa kupiga simu

    Tatizo la smartphone kuzima screen wakati unapiga hilo ni tatizo la sensor kuchoka hivyo basi kinachotakiwa ni kupeleka simu kwa fundi ambaye na kuondoa kabisa diode zilizopo ktk sensor zisifanye kazi tena hivo simu itarejea kawaida .
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ugaidi: Watanzania 6 wenye silaha wamekamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-Shabaab

    Huko ni kutiana aibu tu tunaonekan watanzania wote ni maghaidi.hii yote ni uvivu wa kufanya kazi na kukimbilia vya bure!.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata mchumba police

    Nenda depo!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Toyota Brevis zina nini cha ziada?

    Petrol kwa sasa ni 2370 lita
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa magari wazidi kuumizwa

    Chama hakitaweza kukusaidia kwa lolote kama hautakuwa na mipango thabiti na mtaji wa kukuwezesha kufanya shughuli zako binafsi za kujiendeleza kiuchumi.Dhana ya kusubiri kuchagua chama ili kikusaudie kukuondoa umasikini ni sawa na KUSUBIRI TRENI AIR PORT.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa!, Polisi Wako Ni Wauaji!. P'se Stop This

    Hapo hata sijaelewa hii mada ilikuwaje.Binadamu tumwogope Mungu na kutafuta suluhisho wengine huwa tunajifunza kupitia ukurasa huu sasa hapa tunajifunza nini zaidi ya mitusi tu.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Bilionea Kimory wa Arusha afariki dunia

    Hata mi siku nikifa nitaitwa bilionea kwa vile tu naishi Arusha na nina Account jamii forum.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    Ndio maana yake pale unapopata Emanuel tv ongeza signal kama utatumia receiver ya mediacom 930 kisha fanya blind scan zitaingia!.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    Kama ntafanikiwa kupata hiyo 68.5e ntanunua account kwani imebaki siku 38 tu.!
  14. E

    JamiiForums Tanzania Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    Nilijaribu nikazipata lakini hazikufunguka sikujua tatizo nini au nilifikiri kwa kuwa nilikuwa natumia line ya simu yaani GPRS na sio 3G.Naomba nifafanulie hapo ili kesho niisake tena kwa kuwa fundi ni mimi mwenyewe!
Back
Top Bottom