Msaada: Jinsi ya kupata mchumba police

Msaada: Jinsi ya kupata mchumba police

Pia ukishamjua mvizie siku hajavaa magwanda halafu mwaga sera zako haitakuwa noma hata kama akikukatalia.Usije ukathubutu kumvamia akiwa na magwanda na mbaya zaidi na kofia kichwani.Utakuwa unacheza na moto wa jeshi kaka.Ni kumdhalilisha afisa wa polisi.Unachotakiwa kufahamu pia askari wa kike waliingizwa jeshini kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kuwahudumua askari wa kiume hasa!!
 
Mkuu nadhani watu wengi hamuelewi hili, ukitokea kumtongoza askari wa kike akiwa na magandwa yake chance ya kukubali ni kubwa kuliko akiwa kiraia.. Unajua 4 once anapokuwa na magwanda yale anaona amekuwa kama dubwana linalotisha (sio kwa sura bali kwa mavazi).. So anapotokea mwanaume mwenye ujasiri na kumtongoza na uniform zake bibie anakuwa deeply touched na kumuona huyo mwananume kama jasiri..

La kuzingatia mwanzo ni mgumu.. Lazima atakutingisha kwanza kwa mkwara.. Akidai hueshimu magwanda wake.. Ukiendelea na mashairi atakuelewa..

Angalizo: Kila binti mzuri unaemuona na gwanda, juu yake kuna bosi afande.. Awe anakula mziigo au hali wivu uko pale pale.. Uwe makini tu Mkuu.. Wana tabia ya kuwabambikia watu kesi hawa kisa wivu..
 
Mbona kaz lahis sana? Mtafute siku moja akiwa na magwanda hakikisha yuko peke ake eidha yuko balabalan au anenda home kwake, ibuka nae mwambe ukweli wko wote, halafu mpotezeee kama wiki kadhaa mtafute tena akiwa ananguo za kilaia omba jibu lako, hapo hata ww utakuwa unajiamini tofaut na kipind akiwa na magwanda, ukishindwa jenga nae mazoea kama unataka kitu kwake, jua mda anaotoka kazin ili umpe lifti fanya hivyo mara kadhaa halafu muombe kisima sasa yone kama atakataaa
 
Mbinu ni zile zile unazotongozea wengine, jiandae kulala mwenyewe akiwa doria
all the best
 
Mbona rahisi.Fanya yafuatayo:Mfuate siku moja akiwa barabarani,Msalimie kisha mzibue bao la uso moja,Hajakaa sawa mtama hadi aanguke chini.Hapo watu watakuzingira na kukupiga kidogo.Utapelekwa polisi,ukiulizwa kwanini umempiga askari,Wewe sema unampenda lakini yeye hakupendi.Akisikia hivyo atakuonea huruma na mwisho kukukubalia.Wana huruma sana hao ila ni wagumu kumkubali MTU.Nasubiria mrejesho najua utanishukuru tu kwa ushauri na mbinu hii.
mkuu we hufai kutoa ishauri utasababisha maafa
 
mkuu ukiwa dereva wa bodaboda ndo unaweza kuwapata wengi sana fanya hibvyo
 
Du mbona mnapata shida mm ni mwalim nshawakataa wengi nashangaa mbaogopa du,mpaka wengine wanatembea na bastola napiga verse kwa mbele
 
Mfuate mwambie umeota anakupa kila unachotaka, na sasa ni wakati wa ndoto kuwa kweli.
 
nenda kituoni kufungua kesi ya kutukanwa then acha namba pia na ww omba namba kuwa nikimuona mtuhumiwa niwa shtue.ukipata namba umemaliza
 
mambo yako gani yataenda ukiwa na mwanamke askari? we ni muhalifu? hawana tofauti na mademu wengine akupende tu kiulaini unachukua. jitahidi kua smart wanapend sana watu walio safi nadhani ni moja ya ethics zao. ila ukishikana naye mkona mzito haswa usije ukaogopa
 
sasa si unipe ushauri au

mkuu wanakuzingua hao the best way ni wewe kwenda kuvutia bage police na hapo ukiswenkwa lupango wakati wa kulia llia kicongo mfano .... mama leki nagai (jina police) ba bomi ngai pona yo... nalingi yo mingi, nalingi nakufa, linga ngai cherie
 
wewe nawe unaogopa nini mwanamke ni mwanamke tu mbona simba dume analala demu anaenda kumwindia kwa maelezo zaidi mu pm nyarandu huyo ndo kila kitu
 
Ndugu yangu inatakiwa uwe mvumilivu Sana kuwa na mpenzi or mke Polisi kwani pindi watokapo depo huwa wanaludi tena CCP Kwajili ya kuongeza vyeo sasa hapo ndio Ndoa na mahusiano ya watu wengi walio huku uraini hufia hapo.
 
Back
Top Bottom