Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Mwl account yangu ya ACAMHD ina stack sana, nadhani coverage ya internet hapa nilipo itakuwa na shida. Naomba ushauri.
Pia naomba ufafanuzi endapo nataka kuhamia IPTV natumia dish la dstv na king'amuzi q23g kwa coverage hii ya internet inawezekana?
 
Haitowezekana

IPTV inahitaji kasi ya internet kubwa isiyopungua 450kps hadi 1mbps

Na kwa HD Channel isishuke 2mbps.

Karibu.
 
Hivi vidubwasha bado vipo tu.....mimi nisha give up nimeishia kuvitumia kuangalixia muvi tu kwenye flash
 
Hivi vidubwasha bado vipo tu.....mimi nisha give up nimeishia kuvitumia kuangalixia muvi tu kwenye flash

Kwenye post no. 1 Kuna download link ya latest working software.
 
Kama sehemu ninayoishi hakuna coverage ya 3G na is hi na HPRS Nifanyeje
 
Kama sehemu ninayoishi hakuna coverage ya 3G na is hi na HPRS Nifanyeje
Aina ya connection za internet unazoweza kutumia ni:-

1. 3G Network

2. GPRS Network

3. Ethernet

4. Wireless Network

Karibu maeneo yote tanzania yana coverage ya GPRS Network.

Hivyo hizi decoder zaweza kutumika mahala popote tanzania.

KARIBU
 
Ninayo QSat23 na imebuma ikiwa na account ya CCCaM
 
Channel List Intelsat 20 at 68.5E with AvatarCam
Code:
 http://http://www.lyngsat.com/packages/DSTV-South-Africa.html
Whatsapp: + 255 784 496 856
  • Fanya activation ya ACAMHD sasa na UTAUNGANISHWA BURE na data kwa muda wa miezi sita utakazotumia katika decoder yako ya QSAT/SPEED HD/ XMASTER / G8
  • Bei ya ACAMHD ni tsh 60'000 kwa miezi sita
  • Kwa mawasiliano tumia hii namba: 0717 54 57 62
 
Nilijaribu nikazipata lakini hazikufunguka sikujua tatizo nini au nilifikiri kwa kuwa nilikuwa natumia line ya simu yaani GPRS na sio 3G.Naomba nifafanulie hapo ili kesho niisake tena kwa kuwa fundi ni mimi mwenyewe!
 
GPRS sio tatizo, inafaa kwa matumizi.

Je account yako ni code ipi? Ingia kwenye ACAMHD kisha angalia.
 
Nimevutiwa na uzi wako. ....ninunue box gani (the best one)toka kwako nipate channel zote bila matatizo ya scrambled kila mara?
 
Ndio maana yake pale unapopata Emanuel tv ongeza signal kama utatumia receiver ya mediacom 930 kisha fanya blind scan zitaingia!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom