Habari zenu Wana jf
Naomba tujuzane hv ni kwa nn simu nyingi za smartphone hasa hasa smartphone kuzima screan wakati wa kupiga au kupigiwa alaf kushindwa kuwaka mpaka anayeongea nae akate yeye na njia gani ya kutatatua hili tatizo??? Ahsanteni...
Mkuu hata me nna tatizo ka lako wakati mwengine inafanya kazi vizuri ukipiga cm ukaweka sikion inajizima screen ukitoa inawaka !!imenisumbua Sana ila we jaribu kufuta vizuri sehem hio ya sensor uone itafanya kazi?? Ikikataa bac ujue ni hardware imekufa ya kubadili kwa fundi! Unaweza kuiturn off proximity sensor kwa mda ka hataki i sense kuondosha huo usumbufu nenda kwa phone call halaf settings then turn off proximity while on callHabari zenu Wana jf
Naomba tujuzane hv ni kwa nn simu nyingi za smartphone hasa hasa smartphone kuzima screan wakati wa kupiga au kupigiwa alaf kushindwa kuwaka mpaka anayeongea nae akate yeye na njia gani ya kutatatua hili tatizo??? Ahsanteni...
Tatizo la smartphone kuzima screen wakati unapiga hilo ni tatizo la sensor kuchoka hivyo basi kinachotakiwa ni kupeleka simu kwa fundi ambaye na kuondoa kabisa diode zilizopo ktk sensor zisifanye kazi tena hivo simu itarejea kawaida .
Habari zenu Wana jf
Naomba tujuzane hv ni kwa nn simu nyingi za smartphone hasa hasa smartphone kuzima screan wakati wa kupiga au kupigiwa alaf kushindwa kuwaka mpaka anayeongea nae akate yeye na njia gani ya kutatatua hili tatizo??? Ahsanteni...
Hilo ni tatizo nione kwa msaada zaidi.0754 604567...ulibadirisha tachi.simu yako ni yaaina gani.nicheki whatsapp tuma model nikupe jibu fast.
Kwa msaada zaidi tutafute ktk whatsapp 0754604567
Kwa msaada zaidi tutafute ktk whatsapp 0754604567
NITAFUTE WHATSAPP 0754 60 45 67.hizo simu mafundi hawaijui sensor. Zikoje sasa mara nyingi zina waanguka.nitafute tatizo la simuMkuu, mimi yangu ni Nokia Lumia 620, nilibadilisha Touch