Kama kuna sehemu imelemewa na kodi mbalimbali za serikali basi ni kwenye chombo cha usafiri,
Baada ya kutubana kwenye road license, fire extinguisher, petrol na diesel, vipuri na lubricants nk nk leseni za udereva, kulipia ukaguzi, ongezeko la import duty, nk nk sasa maumivu safari hii yameletwa kwenye bima
Kwanza bima ilipandishwa kutoka elfu 50 third party mpaka laki moja, na comprehensive nazo zikapanda kwa kiwango vyake, wamiliki tulalalamika kidogo lakini tukaridhia.
Sasa limeletwa la VAT kwenye hizo bima, sasa hivi ukinunua bima ya kiwango chochote nk shurti ulipie na ongezeko la thamani 18%, huku ni kuzidi kunyonga na kuwaumiza wananchi kwakweli.
Tunaelekea ni kurudi kwenye enzi ileile ya kumiliki gari inakuwa kama kitu cha kifahari na gharama kubwa, ukija kujumlisha utitiri wa malipo unayofanya kwa gari dogo tu la milioni 8, ni gharama ambayo kwa maisha ya mwananchi wa kawaida hawezi kuimudu na akifanya hivyo anaumiza bajeti kwenye mambo mengine ya muhimu.
Serikali hii na watoa maamuzi wake sijui wanaishi dunia gani kushindwa kuyaona haya.....

Labda hzo ndo sign za uchumi wa katiKama kuna sehemu imelemewa na kodi mbalimbali za serikali basi ni kwenye chombo cha usafiri,