Recent content by Engare

  1. Engare

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa Rais kupokea wageni wa kitaifa nyumbani kwake?

    At least hakuwa Bangladeshi kapokea akiwa UR of Tanzanzia ni fureshi tu
  2. Engare

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tujiandae na Utawala wa Joe Biden (Democrat)

    Yaani acha tu. Africa safari yetu ngumu sana. Hata watumwa waliuzwa na machief wetu kabisaaa
  3. Engare

    JamiiForums Tanzania Vodacom leo nimeachana nayo rasmi

    Naheshimu biashara sana ila Vodacom mlipofika sio kabisa. Imebidi nijitoe tu.
  4. Engare

    JamiiForums Tanzania Namuendesha bosi msichana wenzangu wananicheka

    Endelea hivyo siku ukiacha tu ukaanza kujiona kidume itakula kwako
  5. Engare

    JamiiForums Tanzania ZOLA || Offgrid electric Tanzania LTD na Uonevu kwa wafanyakazi

    Pole sana kwa kukumbwa na Retrenchment, kwa kuandika kwako tu inadhihirisha unamatatizo yako mwenyewe ambayo unataka kuuaminisha umma bwana Erick muonevu. Na pia unadharau sana kwa majina unao waita ex viongozi wako walio kuongoza na kukufanya udunde na kushiba mpaka leo unapo waita majina ya...
  6. Engare

    JamiiForums Tanzania Historia imedanganya na kupotosha asili ya mwanadamu

    Naendelea kutafuta which is which kati ya binadamu kutengenezwa ma Aliens au Binadamu kuhamia dunian from other planets hizi kidogo zinamake sense kwangu ni proof tu napata tabu kidogo
  7. Engare

    JamiiForums Tanzania Hili wazo tigo wamepata wapi?

    Hii kitu kwa kweli tigo wanaboa
  8. Engare

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi mimi na huu mtandao KWISHAAAA

    Ni keroo
  9. Engare

    JamiiForums Tanzania Tigo Express yourself!!!

  10. Engare

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Magari ya kusafirisha Magazeti wana roho ya Binadamu kweli?

    Aisee unajua kudadafua..nimejikuta naenjoy kusoma kama nasoma hadithi fulani. Heheh.. Ndo hivyo magari ya magazeti kama unaroho ndogo panda basi tu.
  11. Engare

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wa Mwanza respect and silence

    Soon Baraka atatokea on Forbes Magazine ndo watu wataelewa...this man is RICH. Mgondi Wa Buswola is no joke. Forbes Magazine soon watamtoa tu.
  12. Engare

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wa Mwanza respect and silence

    Wapo njemba wana pesa mbaya ila silent......heheh.. Nenda Geita...uliza utapewa names kama sio list...heheheh
  13. Engare

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ndiye Mkuu Wilaya Mpya ya Kigamboni.

    Bora apewe chege au juma nature sio wema. Na ikitokea kapewa basi hii serikali itakuwa haipo serious kama inavyoonekana sasa. Lets wait and see
  14. Engare

    JamiiForums Tanzania Sanaa ya kifo

    Ntashukuru kaka. Thanks aisee kwa info nzuri sana
Back
Top Bottom