Namuendesha bosi msichana wenzangu wananicheka

Vipi jinsia yako imeshabadilika kuwa "me"? Mumeo ameacha kuomba game kila siku?
 
Japo ujumbe wako unakinzana na kile kilichoko Moyoni mwako ( umetudanganya), Endelea kufanya Kazi na Wasidharau Kazi yako maana kazi yao haikusadii jambo lolote!
 
Fanya kazi Brother, huo ni wajibu wako kufanya hivyo na ndo utadumu kazini
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
 
Kwa hapo ulpofika hautakiwi upunguze ktu tena. Ukipunguza boss wako ataona ushaanza kumea mapembe. Wewe endelea kupga kazi
 
Safi

Fanya kazi mkuu,acha kuangalia watu.Ukitaka kuwapendeza watu,utapoteza kila kitu.
 
Uzuri umesema mwenyewe kuwa hayo unayomfanyia boss wako yanatokana na mafunzo uliyopata chuoni...Sasa utaogopaje kuchekwa kwa kufanya kitu ulichosomea!..Haya
Mambo ya kuogopa kuchekwa yanatuchelewesha sana kimaisha... wengine tuliogopa kusoma kwa bidii shuleni...ili tusichekwe na kuitwa wasongo...sasa hivi wengi tunalia na wasongo Ndio wanapeta...Mkuu Maisha ni vita pambana.
 
kama unapata vingi kupitia ukarimu endelea ukiwafata hao hawatakupa hata vichache zaidi watakucheka ukivikosa ivo vingi. .

mie niliwahi omba kazi flani ya kibwege kijiweni wakanizodoa, kumbe ina malupulupu aseeh si ndo nikawa mfadhiri wao wanapo kwama baadae pambio likageuka kwamba nna akili sana nkajua hawa njaa tu hawana lolote.
.....
....hahahaha Mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hbr wadau baada ya kupata mafunzo ya driving pale Mabibo Nina wiki nmebahatika kazi namuendesha Dada mmoja Wa shirika Fulani la Wajerumani.

Tatizo vijana wenzangu wakiniona nawahi kushuka namfungulia mlango yule Dada ashuke jamaa wanamaindi.Yule Dada kweli pia hupenda kufungua mlango mwenyewe Bali nimemkataza nikamwambia nitakuwa namfungulia.

Akishuka nambebea begi lake mpaka ofisini wakati Wa kutoka nambebea mpaka kwenye gari.Jamaa wanachukia eti najishusha.

Chuoni nimefundishwa kumkarimu abiria wangu ambae ni bosi kiumri nimemzidi kidogo japo kimo tunalingana namnyenyekea jamani nimesota sana mtaani.

Jamaa mpaka wananitenga sijui nifanyaje yule Dada nafaidi vingi Kwa ukarimu wangu.Keep change za kutosha.Nishaurini kitu.
Siri ya kutoterereka katika maisha ni KUJITAMBUA NA KUTAMBUA UNACHOKITAKA MAISHANI.
 
Back
Top Bottom