Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,165
Habari wana jamvi?
Kuna jambo limekua likinikera sana toka mtandao wa tigo unakuta umeweka credit yako fresh umenunua kifurushi cha dakika then unawatwangia uliowakusudia.
Sasa tatizo linakuja pale inapokua imebaki dakika moja kwenye kile kifurushi kuna mdada anakata maongezi yenu kwa kukumbusha umebakiwa na dakika moja tena ghadhabu zaidi anaongea kiswahili baadae kingereza utasikia "muda wako ni chini ya dakika moja". Sasa najiuliza yule niliyempigia nae huwa anamsikia huyu dada akizungumza? Na kama hamsikii inakua anasikia nini wakati mimi nikiwa naambiwa salio langu ni chini ya dakika?
Nakumbuka ilikua salio lako likibaki chini ya dakika unapigiwa alarm, sijui tatizo ni nini hadi wametoa alarm wakamleta mdada.
Kwa upande wangu naona Tigo wamefeli hapo.