Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Inasemekana Mwanadada Wema Abraham Sepetu ndiye Mkuu wa wilaya mpya ya Kigamboni.
Kada huyo kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi anatajwa kuwa Shughuli za Kuapishwa ziko mbioni kwani Taratibu zote zimeshakamilika.
Wema Sepetu ataungana na Uteuzi uliyofanywa mapema Juma hili ukiusisha aliyekua Mjumbe wa katiba ya wananchi Humphrey Polepole na Ally Hapi.
Vijana hawa wanatajwa kuwa na Mchango mkubwa wakati wa Kampeni za Uchaguzi na Chama kimejizatiti kutowapoteza Mathalani Wema Sepetu ambaye mara nyingi alisafiri Nchi nzima akiwa na Makamo wa Rais Bi Samia Suluhu wakati wa Kampeni.