Recent content by Eng. SALUFU CA

  1. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Mmh, haya ngoja waje wataalamu.
  2. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Naomba usome hapa plizz

    Weka bei hapa mkuu ili kama mtu anakutafuta awe amejipanga kabisa, details zote ziwepo ikiwa ni make, origin, na sababu ya disposal.
  3. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Kwani cha ajabu nini hapo sasa?!?!?!
  4. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania ni vyakula vipi vinampa mwanaume pumzi ktk uwanja wa 6 kw 6?

    Kweli fani zimevamiwa!!!
  5. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Mh?!! kazi kwelikweli.
  6. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara ya Morogoro: Contractor ni third class

    Hivi hakuna wadau wenye taaluma zao waje watujuze juu ya hili? Wapi ndugu zangu wa DART? Hebu njooni mkate kiu ya wadau hapa.
  7. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na bidhaa za WESTPOINT

    Watanzania ndivyo tulivyo, hakuna wa kufuatilia hadi mwisho hapo.
  8. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Yanga haina hoja katika hili.

    MMh!!! Mwisho uko karibu sana kufika
  9. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia yatokea tz.

    Waliofeli ndo wangefaulu
  10. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Nani mjanja kati ya hawa wawili

    Ngoma droo hapo
  11. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania majina ya wapi haya?

    Aagh, unatafuta ugomvi sasa.
  12. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Ngoja tuone
  13. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Hali tete Central Police Dar; wafuasi wa Sheikh Ponda waanzisha purukushani!

    Twasubiri kwa hamu habari kamili maana twaweza shindwa kutoka ofisini leo.
  14. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Mnaotoka Mombo, Lushoto-hili tunda linaitwaje?

    Hilio linaitwa Star fruit, ni kweli ni tamu sana japo mimi sitokei TA lakini nililipata pale Mombo kwa yule jamaa kabla ya reli ukitokea Same.
  15. Eng. SALUFU CA

    JamiiForums Tanzania Umuhim wa referee

    Kwani ulikuwa hujui kuwa ukimdhamini mtu waweza kutiwa hatiani wewe, na kuhusu kazi maana yake wewe wamjua fika akidanganya unalo kaka/dada.
Back
Top Bottom