chipalila1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 259
- 31
Ndg kwa wanao jua naomba wanijulshe referee ana play role gan kwa mwajr. kwan waajr weng wanahtaj hii kitu
For serious employers, they always cross check with your referees. Ni uthibitisho wa ufanisi wako. Niliponea chupuchupu kukosa kazi muhimu sana baada ya referee niliyemwandika kuonyesha kuwa hanifahamu vizuri, it was an internationa company. Na HR manager akanipigia simu kuniuliza kama nina uhakika na referees niliowaandika . Ikabidi nimpigie simu huyo referee alikuwa ni prof in one of the colleges in Europe by then. Ndio akawa tayari kuongea na hao jamaa. So ndugu zangu msipuuze vitu vidogo , they do matter a lot.
ahsante sana kaka kwa ushauriReferee ni mtu muhimu sana. Hakikisha mko kwenye good terms pia. Anaulizwa juu ya uliyosema kwenye cv yako. Akikuua unaweza usipate kazi kabisa. Awe mtu uliyewahi kufanya kazi chini yake, ama kukufundisha.
Google samples of referee forms uone maswali atakayoulizwa. Kumbuka kuhakiki namba ya simu kama bado ipo hewani.