Ni kweli kabisa. Apewe maua yake ila tatizo alituachia Katiba yenye mapungufu kadhaa yanayolitesa taifa mbaya zaidi viongozi wanatumia hayo mapungufu kwa faida zao binafsi
Nimejifunza kutokuogopa kufeli jambo, kufeli ni sehemu ya kujifunza, kama kuna jambo unaona linamanufaa lifanye usiogope kufeli. Do your best and God will do the rest
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Naliita hili ni kundi la Matapeli kwasababu msimu huu ulioisha wa 2022/2023 walikua na kila sababu za kuchukua EPL matokeo yake hata Man U mbovu imebeba hata kakombe cha mbuzi na kuishia nafasi ya 3 nyuma yao. Kwanini nisiliite kundi la matapeli?
Wakuu ni mimi tu ndo napata shida ya kudownload vitabu kwenye PDFDRIVE au kuna shida gani nyingine maana ni kama miezi kadhaa hivi siwezi kudownload vitabu mule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.