Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,511
- 2,916
Jigger man kumbe ni muandishi!?Msaada mwenye kitabu / pdf ya hiki kitabu 'DECODED' Cha Jay Z anisaidie
Jigger man kumbe ni muandishi!?Msaada mwenye kitabu / pdf ya hiki kitabu 'DECODED' Cha Jay Z anisaidie
Jigga Man Is EverythingJigger man kumbe ni muandishi!?
Nilipokuwa shule ya sekondari mwanzoni mwa miaka ya 1990 nilisoma kitabu cha The Scarlet Song. Sikumbuki mwandishi ila namkumbuka character mmoja Osman Douye. Kitabu kingine Forgive me Maryam. Hivi vitabu nadhani wakati ule naanza mahusiano ya kimapenzi vilinigusa sana
Hongera, karibu kwenye chama!Sikuwa na interests na kusoma vitabu....nimejifunza, nimeanza kwenye vitabu kuna maarifa sana.
Nimeanza na hiki DARK PSYCHOLOGY by Daniel James Hollins
Nimejaribu kukifungua lkn wap kitume tena
POWER OF THE PUSSY by Kara King.
Being a senior bachelor I had to read this book to find out what Kara King was telling women; this way I can be aware of all tricks women use when dating a man.
She had good advise but I personally disagree on a point of using sex as leverage; hapa anawapoteza wanawake wenzie.
Kwa kifupi hichi kitabu hakiwafai hawa Dada zetu wa kibongo.
Ukimaliza, tafuta "Why men Love bitches" by Sherry Argov.Nakiomba kaka
HikoView attachment Why-Men-Love-Bitches.pdfUkimaliza, tafuta "Why men Love bitches" by Sherry Argov.
Ngoja niangalie kwenye archives zangu, nikikiona nitakusogezea hapa.
Shukrani sana ahsante
Mkuu, naomba unisogezee hivi kama unavyo:
Kitabu amaizing kabisa....nimekipenda kinavoelezea how to overcome emotional manipulation#NR Dark Psychology
Bado navitafuta hivi vitabu wakuu.
Wakuu nashukuru nimehangaika hatimae nimeupata huu mzigo. EnjoyView attachment Atomic Habits James Clear.pdfWakuu naomba mwenye pdf ya kitabu cha ATOMIC HABITS aweze kushare humu, nimehangaika sana kukitafuta sijakipata bado.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Hiki kitabu kinahusu niniWho moved my cheese