Recent content by emrema

  1. E

    JamiiForums Tanzania Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    Kati ya watu ambao nchi hii itajuta kuwapa fursa ya kupata elimiu kwa wizi ni wewe. Uongo ulioweka hapo unadhihirisha akili za kukopa kama ulivyotumia jina la mtu mwingine kusoma sekondari. Source za Wikipedia kupata information na kuziweka hapa ni upuuzi na uchuro hizi huwa hazikubaliki kwenye...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa za jinsia moja Tanzania

    Nimefuatilia kwa karibu repoti ya Haki za Binadamu iliyotolewa wiki liyopita na mienendo ya wanaharakati dani na nje ya nchi hasa mkutano wa mashoga na wabunge wiki hii. Tujiandae kuletwa sheria ya jinsia moja na kupitishwa ndani ya miaka 2 ijayo kama ile ya Ugaidi.Hilo ni agizo toka kwa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Benki ni yakuiogopa sana!Mama alala juu ya paa siku 5

    Ni ujinga mkubwa kutumia taarifa kama hii kuwataka watu wasikope benki. Mikopo ni njia inayoongoza duniani kuleta maendeleo kinachotakiwa ni nidhamu ya pesa. Umekaa kiumbea kuliko ushauri.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwa hili sioni sababu ya KUOA TENA!

    nipm namba ya binti yako nimshauri yeye sio wewe.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Jiachie na spy pen yenye uwezo kurecord video na kupiga picha na sauti kwa Tsh 150,0000/=

    niletee kesho 0755789225
  6. E

    JamiiForums Tanzania My Observation:Dar Culture Vs Arusha Culture

    arusha wanachomana visu kugombea mademu Dar rarely! Tehe
  7. E

    JamiiForums Tanzania My Observation:Dar Culture Vs Arusha Culture

    Arusha ukimkosea mshikaji anakwambia "ntakunyonya macho" Bongo "kuwa mstaarabu msela wangu".
  8. E

    JamiiForums Tanzania "Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

    Simple minds discuss people! Awe asiwe nazo inawahuuuuuu.......
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kufunga ndoa na kuishi na mke/mme bila ndoa

    ujinga ni kule kuamini ndoa ni makaratasi na matukio tukasahau mahusiano. ndio sababu sisi wakristu ndoa zetu ni mateso kwani wengi hufuata mkumbo tu. leo mchana nimemsikia mama jirani akimwambia mwenzake si tumeshafunga ndoa atanifanya nini? Pata picha. But ni mtazamo tu.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya NDOA na HARUSI (Soma hapa ili usijute ukioa/kuolewa)

    katika harusi 8 nilizohudhuria over the past 3 years 3 zimevunjika kabisa 1 ipo ukingoni 2 ma ex wote wamerudi kwa nafasi zao 2 ndo zinaendelea kwa matumaini. nadhani kujali thamani ya maisha ni muhimu zaidi kuliko kuoa au kuolewa.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    Naamini video hii ni ya Mwingulu Lameck Mnyiramba na ataitetea mahakama zote dunian na mbinguni kama ilee ilomfanya akakimbilia China.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    katiba yetu inatoa ustaarabu wa kutuongoza kama kuna kiongozi yeyote atakaetumia dini kujinufaisha au kupata kura basi anajivua sifa ya kua Kiongozi ndabi ya Tanzania. DINI haitatatua umaskini wetu bali elimu na kazi. Mtatiro karibu kwenye thread hii pse.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Fainali ya leo kati borssia dotmund na bayen ni kama ccm na cdm

    umbululo huu kila kitu siasa tumia kichwa kufikiri. Naona Dortmund wameshapigwa nje ya uwanja kwa kuruhusu wachezaji muhimu kutangaza kusajiliwa Bayern. Only spirit ya wachezaji hao itaamua game.
  14. E

    JamiiForums Tanzania ushauri plz

    women are strange birds. Badili mboga mama.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mimba ya mke wangu inanitesa

    mimba za kuchangia hizo!teh m kidding. Pole.
Back
Top Bottom