ushauri plz

ushauri plz

Endelea kukaa kimya tu, kama kweli anakupenda atakutafuta na akikutafuta mweke kwenye kiti moto ili akueleze kuhusu mwelekeo wa penzi lenu ukiona anajikanyagakanyaga basi akili mkichwa.
 
mzabzab !!! Heheheh swali muhimu hili

ah wewe wanawake kugegeda mbona kiti cha kawaida alafu wanashangaa jamaa akianza kuchuna....watu wanakutumia tuu na kusepa. ushauri wa bure wanawake mgegedane kwa raha yako na sio kutegemea makubwa
 
Ha ha nami nina ufiga mzuri najiamini balaa ndo mana nataka iwe summer time nikajiachie vya kutosha,hizo tight ass,thighs nk ndo mule mule
Tutaenda dec saivi majukumu ya kiofc yametait

we we we!!! unajipenda au unatania...december kule sii summer na warembo wanatoka chicha balaa vimini sio vimini its just a sea of ass, thighs and cleavage...nitakubwaga bora twende sasa wakati wa winter kila mtu is all covered up lol
 
nilikuwa na mpenz wangu tulipenda sana.mwanzo aliniambia alikuwa na mpenz wake.waliachana coz ya tabia za ule dada.hata mama ake mzaz hakumkubali.marafiki zake pia hawakupenda.kuna cku uyo dada alienda nyumban kwa mpenzi wang alimkuta anaoga akachukua namba yangu na kuniomba niachane na mwanaume wake nikakubali.nilipomweleza mwanaume akampigia cm akamgombeza na kumwambia ache kunisumbua.tukaendelea na mapenz yetu.huu ni mwez wa tatu sasa amebadilika hapokei c
m zangu anajibu sms zang kwa ufupi.nikimuliza anasema kazi nyingi.nikawauliza marafiki zake kama amerudiana na mwanamke wake wanasemaa hawajarudiana.mwanaume anasema nisipanic mambo yake yakika sawa atakuwa sawa.wiki tatu za nyuma nikaamua kukaa kimya.sasa kuanzia juzi ananitumia sms za kunisalimia.nisaidieni kumwelewa mi nimeshindwa.

Ukiona dalili izi ujue kuna m2 kakuzidi kete.
 
Back
Top Bottom