Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
hello jf members
Kwa mtazamo wangu ni kwamba wanaoishi bila kufunga ndoa wanafuraha na amani kwani kila mtu anajitahidi kutokumuudhi mwenzake ili wasiachane
kuliko wale waliopo kwenye ndoa hufanyiana makusudi wakijua kwamba ndoa itaendelea tu!
Vp wewe great thinker mtazamo wako ukoje kwa hili? Nawasilisha!