Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 427
Magari😀ar vijana wengi wanapenda Verosa,GX100 wadada Harrier Arusha magari yanayo dominate ni Subaru (Forester) kwa vijana Rav4 kwa wadada
Mapenzi:It was argued that "couple nyingi za dar ni wababa kwa wadada kwasababu wababa ndo wenye hela (e.g Mengi na Jacky) while Arusha wadada wengi wako na wakaka as wakaka ndo wenye hela (e.g Mawala). na wakaka wengi wanatembea na wazungu as wazungu wanahela
Mavazi😀ar Vimini kwa sana kwa wadada na bensi kwa wanaume Arusha:Makoti ya leather kwa wakaka na trouser sana kwa wadada
Hairstyle😀ar Kiduku zaidi kwa vijana while Arusha dreadlocks kwa vijana
Silaha:Arusha: Very common kwa wakaka kuwa na Bastola Dar: wababa ndo wenye silaha zaidi
Ongezea kama umeobserve any