Kwa hili sioni sababu ya KUOA TENA!

Kwa hili sioni sababu ya KUOA TENA!

Status
Not open for further replies.
I COMMENT MY RESERVE!!!!!!!!!!!:smash::smash::smash::smash::smash: Hell is real guys!!!!!!!!!!!!!!!!!! POST KAMA HIZI UKISOMA ZINAKUTIA NUKSI NA GUNDU WIKI NZIMA HATA UOGE MAJI YA BAHARI!!!!!!!!! LILISHANIGANDA HILI! ARGHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH!!!!!!!!!!!!!!!!
You comment your reserve?, nahisi umechemka mkuu.
 
wakat mnafanya huo upuuz wenu uliomba ushaur kwa nan? Yaan ww cjui hata 2kuweke kwenye kund lipi.
 
Amekulaani m.mungu sidhani kama utasamehewa. Hukmu yako kifo tooo.
 
Kama una fuga kuku sizan kama wamesalimika!duh!hata shetani apendi!...
 
Sijachemka mkuu wala sio Swagga!!!!!! Meaning i comment my most reserved views! Hapo vipi?
Duuuu!!!, Basi utakuwa umeamua kuja ki vingine, anyway, wanasema vise versa is also true.
 
Hii story itabidi iwe miongoni mwa thread kumi za ajabu kuletwa JF! Zaidi ya uliberali may be!
 
Nimeshindwa kuweka source ya habari hii kwa kuwa pages zake nadhani zimeshafutwa kwa blogs zilizoweka mtandaoni hii habari....lakini traces zake bado GOOGLE wanazo though its pages won't be accesible.

..... ,,,,,,, :::::::::::: ;;;;;;;;;;; !!!!!!!! ??????!
ANGALIZO: THIS IS NOT A FICTION NI HALI HALISI. TUACHE KUSANIFIANA NA TOA USHAURI WA MAANA.
Natanguliza shukrani.

watu8 km kweli huyu member anafanya chit and chat na huku jukwaa husika lipo basi naamini jf is the home of fool thinkers! copy Invisible
 
Last edited by a moderator:
Haya ni maajabu ya dunia sjui kama mwisho uko mbali lol.
 
that is absolutely sick.you don't deserve to live in this world
 
MKUBWA ulioa ukiwa na umri gani!! Nahisi ni under 23,,!! Aisee we endelea kula tu!!! Subiri na mjukuu naye kula! Akibeba ujauzito sasa! Mjukuu wko atakukuta una miaka65 ivi nae kula!! LAAANA INAENDELEA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom