Recent content by empirical

  1. empirical

    Ukiondoa sababu ya kutoelewana na Reginald Mengi, sijaona sababu ya Prof. Muhongo kung'oka

    Professor wa namna hii hata chuoni haitajiki, atatuzalishia vizazi vibovu vyenye tamaa ya pesa na utajiri na kuweka kando uzalendo kwa taifa.
  2. empirical

    Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

    Wenye vitambi watamu wana joto fulani amazing
  3. empirical

    AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

    Vijana wako vizuri, soka safi walitandaza na ushindi ulipatikana, Wajitume zaidi support wataipata..
  4. empirical

    Hatimae Pedeshee Ndama akiri kutakatisha fedha

    Kama hukumu iko ivyo bora kukubali kuliko kukataa alafu ukaendelea kula miaka jela kwa kusubiri uchunguzi kukamilika...
  5. empirical

    Wauza laptop tukutane hapa

    Nauza Dell inspiron min laptop, Tshs 220,000 - -Ram 2Gb -HD 250Gb -Ina tatizo Speaker za nje, ukitumia subwoofer iko poa. Contact: 0675107182.
  6. empirical

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Mpe jamaa apige mambo, kwani heshima shingi ngapi!! Alafu akitokea mwingine mpe nae ... Unaonekana unataka kulipiza kisasi kwa mumeo, don't do that..
  7. empirical

    Wanaume na fikra potofu kuwa mchumba akisomeshwa lazima akusaliti

    Ww mwanamke usomeshwe ili iweje??? nyinyi watu wakushikwa masikio na kuwategemea wanaume tu.
  8. empirical

    Kibonde wa Clouds acha dharau basi

    Watu wanapozeeka wakuwa na busara ila uyu kibonde anakuwa mwendawazimu.
  9. empirical

    Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

    Kama hakuhusika kwanini alijuhudhuru??? Ata kama jk alihusika ila yeye ndiyo alikuwa anaongoza mchakato mzima na ndiyo maana aliamua kung'atuka..
  10. empirical

    Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

    Kama alijua hakuhusika, kwa nini alijihudhuru???
  11. empirical

    Kiwanja heka moja bahari beach budget.

    Nitumie namba ya mwenye kiwanja
  12. empirical

    Unapekuliwa hivi halafu unacheka tu daaah

    Sio kwamba anacheka, anachekelea anachofanyiwa...
  13. empirical

    Nimeamini kweli wanaume ni wachache kuliko wanawake

    Inategemea unataka Mwanaume wa hadhi gani ila wanaume single tupo wengi [emoji19] [emoji19]
  14. empirical

    Ushauri: Sijui nini hasa lengo kuu la huyu x wangu wa zamani

    Achana nae uyo, kama hakukuthamini wakati huo usitegemee atakuthamini sasa ...
  15. empirical

    Mwanamke unajijua upo period, unafuata nini kwa mpenzi wako?

    Kabisa alafu utakuta ndiyo michezo yake kuliwa jicho ila kumwambia jamaa anashindwa...
Back
Top Bottom