Unapekuliwa hivi halafu unacheka tu daaah

Unapekuliwa hivi halafu unacheka tu daaah

Bongo Askari wa kiume hatakiwi kumkagua mwanamke iwapo mwanamke anatakiwa kupekuliwa maungoni na hamna Askari jike basi askari wa kiume anatakiwa amtafute mwanamke yeyote ampekue mwanamke mwenzake,sasa kutokana na wengi kuwa vilaza wa Sheria mtu unaweza fanyiwa hivi asijue kwamba kafanyiwa kosa
Hata wewe ni kilaza wahed, hizo uniform ni za askari wa Bongo?
 
Hata wewe ni kilaza wahed, hizo uniform ni za askari wa Bongo?

Kuna statement nimeitoa inasema hawa ni askari Wa bongo?, nilichofanya nimeeleza sheria inavosema kuhusu kumpekua mwanamke hapa bongo najua hao ni askari wa Uganda.Nyie binadamu wenye mikia makalioni mnakuwaga hamko intelligent soma Maelezo uelewe sio kujump on conclusion mama mdogo.ndio maana Kwenye Maelezo yangu nilianza na neno bongo kuashiria hao wanaopekuliwa hawako bongo
 
a7f9eecdc10829c0765f85cb49f6d232.jpg

single mother huyoo anaenjy
kupapaswa.
 
Angalia vizuri wote hao ni wanawake wanajua wenyewe wanapofichaga vitu vyao

Aisee kapime macho yaani huwezi tofautisha mwanamke na mwanaume duh muulize yeyote humu huyo afande ni dume au jike hayo makalio mbona ni ya kiume ya kike yanatumafuta mafuta
 
Aisee kapime macho yaani huwezi tofautisha mwanamke na mwanaume duh muulize yeyote humu huyo afande ni dume au jike hayo makalio mbona ni ya kiume ya kike yanatumafuta mafuta
hilo tukio lilitokea Uganda kitambo tu na picha zilikuwa nyingi tu na kuna nyuzi humu ilikuwa na hizo picha labda kama wewe unadhani ni current issue haya
 
hilo tukio lilitokea Uganda kitambo tu na picha zilikuwa nyingi tu na kuna nyuzi humu ilikuwa na hizo picha labda kama wewe unadhani n
i current issue haya

Badala Mimi nikuhadithie wewe, wewe ndio unajifanya unahadithia Mimi,wewe ulisema anaemsachi huyo manzi ni askari wa kike mimi nikakutalia kila mtu hapa anajua anaemsachi huyo mwanamke ni askari wa kiume lakini we unabisha hayo macho yako sijui ni Ya ngamia wa libya
 
Haya bwana ngoja watu waone kama Mimi au wewe ndo una macho ya ngamia
1fbf2b333826bb2506e7d2ad1cf6e4bb.jpg
04abb320500c114c5c6c295b316104d5.jpg
50b31251b1e614698432fe3df777c096.jpg

e693ace758763ff9fc77e737083384ab.jpg

Sibishani tena na wewe kama unataka na website ya hiyo news hii hapa Photos: Uganda police strangely search fans private parts – Nehanda Radio
 
Ndiomana mnakufa kama panya. nikuone unashika shika mkewangu, kesho nakupiga risasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom