Recent content by Emoji06

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 35 nataka kufanya biashara Kariakoo

    Mkuu kilemba ndo nini?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje?

    Habari wana JF. Hongereni kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje? Hizi ni gauni za kina dada wengi hupenda kuvaa nyumbani au shughulini. Zimekuwa mbadala wa khanga. Asante.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kuna “star” Bongo amekushawishi kutumia bidhaa anayotangaza?

    Mzee majuto na lile tangazo la Ivory cocoa powder
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nauza Dagaa wa Mwanza waliokaangwa

    wale ni laki 2 gunia. chini ya kipimo hiko unasema
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nauza Dagaa wa Mwanza waliokaangwa

    sado elfu kumi hapa usafiri juu yako, ila debe kusafirisha ni juu yangu.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nauza Dagaa wa Mwanza waliokaangwa

    Ndugu wana jamvi, nauza dagaa safi waliokaangwa kutoka Mwanza debe elfu 55,000. mzigo utakufikia popote ulipo. ukihitaji karibu PM.
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    End of the weekend
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtia mimba mzazi mwenzangu akiwa kwenye ndoa yake ya miaka 7. Nifanye nini?

    kuwa na mahusiano na mtu mwenye mtoto ni changamoto sana. ila wakati mwingine nasema shauri yao km watapasha viporo ila mm ndo main
  9. E

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Ajira kupitia WhatsApp kuna aliyefanikiwa nayo?

    simu yangu inanigomea kujoin, nifanyeje?
  10. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu askari Polisi bado anawasiliana na mzazi mwenzie ambae pia ni askari Polisi

    hivi na sisi wanawake tukiolewa na wanaume waliozaa lakini hawaishi na watoto zao imekaaje hio?
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndoa inanivunja moyo, najuta kwanini nilimuoa huyu mwanamke

    nilichogundua huu uzi sio wa rafiki yako. unakuhusu
  12. E

    JamiiForums Tanzania UKIMWI unavyotafuna vijana

    sasa we huoni hio nayo ni shida kuzunguka kila siku mahospitali kujitibu? ee mungu tuepushe na magonjwa mazito...Amiin[emoji120]
  13. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliamuamini analoniambia, mshikaji wangu akanambia shutka mzee hapa Hakuna Bikra

    mbn mm nimeitoa nikiwa 27
  14. E

    JamiiForums Tanzania Wale tunaofua nguo maramoja tu na kuandika tukutane hapa

    mleta uzi amemaanisha wakati wa kufua huwa unairudia au ukishapikicha unasuuza imetoka?
Back
Top Bottom