Kuna “star” Bongo amekushawishi kutumia bidhaa anayotangaza?

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,936
4,347
Kuna wingi wa watu maarufu hapa Tanzania wamepata dili za kufanya matangazo ya bidhaa mbalimbali hapa nchini mfano vilevi, soda, sabuni nk.

Je wewe kuna “star” yeyote umewahi kumuona akitangaza bidhaa yeyote kwenye ukarasa wa mtandao wa kijamii au media yeyote ukashawishiwa kununua hiyo bidhaa.
 
Binafsi siwezi kununua bidhaa eti kwa vile mtu fulani maarufu kapewa pesa ili aseme hiyo bidhaa ni nzuri.
 
Mie nikiona Star Mavi anatangaza ndo naachana na hiyo kitu

Mie kizazi cha mswahili original toka kwa Wanubi
Kuna wingi wa watu maarufu hapa Tanzania wamepata dili za kufanya matangazo ya bidhaa mbalimbali hapa nchini mfano vilevi, soda, sabuni nk.

Je wewe kuna “star” yeyote umewahi kumuona akitangaza bidhaa yeyote kwenye ukarasa wa mtandao wa kijamii au media yeyote ukashawishiwa kununua hiyo bidhaa.
 
Kuna wingi wa watu maarufu hapa Tanzania wamepata dili za kufanya matangazo ya bidhaa mbalimbali hapa nchini mfano vilevi, soda, sabuni nk.

Je wewe kuna “star” yeyote umewahi kumuona akitangaza bidhaa yeyote kwenye ukarasa wa mtandao wa kijamii au media yeyote ukashawishiwa kununua hiyo bidhaa.
Mzee majuto na lile tangazo la Ivory cocoa powder
 
Binafsi nikionaga wasanii wetu kwenye matangazo nabaki hiiiiiii
Najiuliza ivi msanii huyu anaushawishi kweli kwa mtu mpaka atumie bidhaa husika
Nadhani pia utaalamu wa kuandaa matangazo ni shida pia
 
Back
Top Bottom