Recent content by emmychaya76

  1. emmychaya76

    UMAR Ibn Al-Khattab na Paul (SAUL wa Tarso): Mashujaa wa imani mbili Kinzani...

    Zile tatu tatu ni ada lakin kinachopendwa zaid ni idadi ya witri kwa maana ni 3,5,7 kama utaweza kuongeza lakin haimaanish kwamba unakubaliana na utatu
  2. emmychaya76

    Kisa cha kijana aliyetokea Jamhuri ya Taured

    Huu uzi hauusian kabisa na huyo bwana ukitaka kuangalia akili yake na yako humuingii hata kwa punje ya mchele bora ukae kimya kama huna la kusema
  3. emmychaya76

    Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Kwani Lut(a.s) na Nuh(a.s) hawakua wateule mbona walipata wanawake wabaya kuwahi kutokea
  4. emmychaya76

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Usije ukabadili din sababu ya ndoa badili din ikiwa umeridhishwa na hoja zao
  5. emmychaya76

    Ramadhan Special Thread

    Bila kuswali huna funga kwasababu 1.ili ufunge lazma uwe muislam na ili uwemuislam laxma uswali kuna hadith moja mtume anasema "tofauti yetu na wao ni swala" na kuna nyingine anasema "mwenye kuiacha swala ameivinja din" na hata wakat anaondoka dunian aliusia sana juu ya swala.hivyo ikifunga...
  6. emmychaya76

    Story: Mahusiano

    Usisahau kunitag naomba Money Penny
  7. emmychaya76

    Weekend Story! All is Fair in Love and War!

    Naomba na mm usisahau kunitag@lara 1
  8. emmychaya76

    Winnie Madikizela-Mandela na tuhuma za mauaji ya kutisha...!

    R.I.P Winnie Mola akuweke unapo stahili
  9. emmychaya76

    Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Siri sirini ckumbuki kiliandikwa na nan
  10. emmychaya76

    Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

    Huko sio kwa akina moana?
  11. emmychaya76

    Kwa jibu hili la Mpenzi wa Ray Kigosi Mrembo Chuchu Hans, Wanawake mkizidi kudharauliwa mtalaumu?

    Kwanza hujamuelewa chuchu hakumsaliti mumew ila mumewe ndiye aliyemsaliti kaenda Australia kisha akoa mke wa din nyingine
  12. emmychaya76

    Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    Dah! Kuna watu wanauchukia uislam ,wanatamani wangeuondoa ila basi tu watafanyaje.kwa taarifa yako waarabu kabla ya kuja uisilamu hawakua wakivaa kwa kujistiri ,kujistiri ni utamaduni wa kiislam na si wa kiarabu
Back
Top Bottom