Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' wawasili Mbeya tayari kwa mazishi

He he he he
watu wameenda kuleta ukada mpaka kwenye msiba, wakati akiwa hai hawakumpa hata mia ya panadol???
Kweli maisha haya bila unafiki hayaendi.

screenshot_2018-04-23-13-14-30-1-jpg.754228
Wana matatizo kwelii
 
Dodoma nako si kuna msiba wa Jebby! Mbona hatuoni amsha amsha kama huku kwa Agness Gerrad Waya?
 
Wewe nawe naona ni mgeni jf! Ufipa maana yake chadema,makao makuu ya chadema yapo kinondoni mtaa wa ufipa ndio maana wanawaita ufipa,na ccm japo makao makuu yapo dodoma ila ofisi ndogo zipo kariakoo mtaa wa lumumba ndio maana wanaitwa lumumba fc a.k.a buku 7 mfano wa lumumba fc buku 7 ni kama vile barbarosa,rutashobollwa,coco chanel na takataka nyingine
hahaha mkuu katika hizo takatakata na mimi nimo
 
Wewe nawe naona ni mgeni jf! Ufipa maana yake chadema,makao makuu ya chadema yapo kinondoni mtaa wa ufipa ndio maana wanawaita ufipa,na ccm japo makao makuu yapo dodoma ila ofisi ndogo zipo kariakoo mtaa wa lumumba ndio maana wanaitwa lumumba fc a.k.a buku 7 mfano wa lumumba fc buku 7 ni kama vile barbarosa,rutashobollwa,coco chanel na takataka nyingine
Mimi na wewe nani alijoin JF kabla. Nilikuwa naisoma tangu 2008 ila niliamua kujoin 15 Sept na angalia post zangu na likes zangu zikoje compare with yours.
 
Siokwamba nyiewengine mkifa hamtazikwa, Bali sikumkifa mazishi yenu hayataongozwa na mapadri wa kijani toka lumumba.
 
Back
Top Bottom