Story: Mahusiano

Story: Mahusiano

  1. E. MWANZO WA MAMBO YOTE 👇 👇

Kufika ofisini sikumkuta bi Anita nilipoulizia nikaambiwa ameenda likizo fupi ya wiki 2… nikashukuru Mungu maana angenisemea kwa sista chaumbea yule!

Nikaendelea na kazi lunch time akaja Subira,

Subira: Mrembo mzima? sijakusikia sikukuu zote hizi vipi mama ulifichwa?

Money Penny: wala sikufichwa nilikuwa tu mwenyewe ndani napunguza mawazo

Subira: naona bibie kaomba likizo, lazima aombe likizo sio kwa lile tukio la majuzi kati

Money Penny: tukio gani tenaa?

Subira: mmmh!
We acha tu Penny kwani Anita hakai kwenu? ungemwuliza yaliotokea

Money Penny: mmh mbona yupo poa tu lakini ameondoka amesafiri kasema kaenda Bagamoyo kujipumzisha

Subira: Bagamoyo tena? Walokole nao wanaendaga kujipumzisha?
Hahaha kwani ameondoka lini Money Penny?

Money Penny: mmmh tangu sikukuu ya majuzi iishe ile ya Nane Nane (hapo namdanganya mimi sijui kitu nabahatisha)

Subira: Basi mama Yule shogako ni Malaya hakuna mfano hata sijui anafanya nini huko Kanisani

Money Penny: Malaya tena?
Kwani kuna nini mbona unanirusha roho?

Subira: sikuile nilipokupa ule mkanda wa Fake Pastor na bi Anita unakumbuka?

Tukajaga kuondoka kila mtu kajazwa!

Basi Penny mimi nikaamua kuendeleza u-snitch nijue nini kinaendelea kati ya wale wawili kwahiyo sikuacha kwenda pale anaposalisha Yule mjinga
Nikawa nawahi sikosi ibada nakaa na washarika, sikumoja nimewahi namkuta msharika analia katika ongea ongea nae, akaniambia ana ujauzito wa Yule fake Pastor wenu!
Sikuamini, maana mademu wa kule wana siri nyingi nikambana kwanini aseme ni ujauzito wa Fake Pastor?
Yule binti kakomaa ni wake akanieleza mara ngapi ametembea na Yule Muhuni, tena sikunyingine ibada za j2 zikiisha tu, watu wakishaondoka wanaonana usiku nyumbani kwa Yule mjinga!
Sikuamini na wala sikutaka kuamini, nikaendelea kumdodosa maana kwanza kale kademu kanaonekana macho juu juu huenda anapepo la ukahaba!
Akawa anang’ang’ania ni ya Yule Pastor ni ya Yule Pastor nikaamua kumuaribia Anita kuupata ukweli wote wa fake Pastor wako!
Nikamwambia Yule binti unajua Yule Pastor anataka kufunga ndoa haya maneno unayaongea unauhakika ni ya kweli?
Maana mkewe mtarajiwa yupo hapa hapa Kanisani, akashtuka anataka nimwambie ni nani?

Nikakataa kumweleza akanibana niambie tafadhali, nikamtaja Dada mwingine kabisa, akashtuka haiwezekani Yule mbona ana Bwana wake anahesabu sadaka na wamepanga kuoana mwakani kumbe anamzunguka alafu huyo unayemtaja ni best yangu sana
Nikasema enhe bibie kafunguka, nikachokoza tena kumbe yule muhesabu sadaka anamuoa yule best yako
… akajibu ndio
.. nikamwambia mbona muhesabu sadaka anatembea na kademu kamoja kanaitwa Anita?!

Yule dada alichokaaa!

Anita huyu huyu ninayemjua au?

Mungu wangu weee!

Nikamwuliza vipi mbona unaguna mama?

Akaniambia yule muhesabu sadaka ana ukimwi!

Na nilishatembeaga nae sana kabla hajawa na best yangu huyu ambae anataka kuolewa na Pastor na kama Anita ametembea nae ina maana Anita anaukimwi

Nikamwuliza kama wewe umetembea nae ina maana unao pia kwanini unashangaa ya Anita?!

Akanyamaza kwa muda huku amefura hasira nikajua tu hapo kuna kitu either mimba sio ya Fake Pastor au Anita hana ukimwi na hili jingas litakuwa lina mimba ya muhesabu sadaka.. basi ibada ikaanza bimdashi mwenye ujauzito akatoka nje

Ibada ikaisha kama kawa Bi Anita akabakia kumsubiria Fake Pastor, mimi nikaondoka moja kwa moja ofisini kwa Fake Pastor, nikauiba ufunguo mmoja wa nyumba ya Fake Pastor!
Nilifika nyumbani kwa Fake Pastor, saa 1 usiku alirudi nyumbani saa 4 usiku tena wapo na Anita!

Si unakumbuka Penny, uliniambia ile ishu ya Hotel nikajiandaa kabisa na vifaa nikavitegaa!

Nina kikamera change cha Canon nilipewaga na bwana mmoja kadogo aliniletea toka Uingereza nikakiegesha mahali ambapo fake Pastor hatojua!
Wakaingia wenyewe wanabebana wanacheka wanafurahi stering nipo chumbani mtupu! Wakanikuta nimekaa kitandani kimahaba zaidi wakashangaa!
Anita akaanza kufoka hapo unafanya nini chumbani kwangu? Si unanijua mimi mafia sijibu ujinga nikamwambia nimekuja kuchukua mrejesho leo siku yangu ya mrejesho wewe nenda uje kesho!
Fake Pastor alichokaaa! Nikamwambia wewe mjinga sijui Mchungaji ahadi yangu unaikumbuka lakini ndio leo uliniambia nije skunyingine nimeshakuja!

Doh Pastor ikabidi awe mpole, akubaliane na ombi langu yani pale Penny hamna Mchungaji kuna lihuni toka Kuzimu!

Akamwambia Anita aende tu nyumbani wataonana kesho Anita akakataaa analia nikainuka kitandani nikambembeleza bi Anita, basi hamna shida tufanye shea kama skuile Kanisani,
Akawa anakatakaa mi nikaendelea kumtega Mchungaji akalainika nikamwambia Anita either uje au uendelee kutuangalia, sijui li Anita likaona nafaidi si likaja!

Ikapigwa Three sum ya kufa mtu Penny huku Camera inarekodi!

Kama kawaida kila mtu aliondoka amejazwa!
Asbh yake ilikuwa sikukuu ya Eid, nikajifanya nimechoka, Anita akaondoka wa kwanza, fake Pastor akamfuata!

Mimi nikanyanyuka nikaitoa ile Camera nikaiweka kwenye pochi, sikuoga nikavaa Faster nikaondoka, kwahiyo mrejesho wako Penny huu hapaaa, akatoa Memory Card ya Camera akanipa, kama hauamini iweke kwenye computer hapa uhakikishe

Money Penny: nikachokaa! kweli SUBIRA Mafia!
Kuangalia kwenye Desk top ni sheedah! Nikamchukuru Mno!
Kabla sikitu hajaondoka, akaniambia lakini sijui kama shogako atakuwa na mahusiano tena na lile huni!

Maana asbh aliamka kwa hasira wakaongozana na Yule Muhuni anambembeleza, naskia wamegombana me sijui lakini naskia wamegombana sana, mpaka Yule Pastor sijamwona tena kanisani juzi na jana hakuwepo mara naambiwa kasafiri kikazi hata sielewi mimi niliopoona kazi yangu imeisha nikarudi zangu mtaani kuwa SUBIRA tena!
Kwahiyo mtafute shosti yako najua kaomba likizo makusudi anafikiri mimi nitamtangaza hapa ofisini lakini wala siko hivyo!

Money Penny: nikamshukuru sana SUBIRA, sikuamini, Movie ile inahitaji malipo makuu sana!

Sikuhio hio nikaenda kwenye Bank akaunt ya Fake Pastor nikatoa Mil 1 nikaja kumpa Subira akafurahi sana!

Subira: Penny ukipata kazi zingine naomba uniambie maana doh sio kwa mihela hii

Money Penny: Poa boss yake usikonde mimi na wewe tena?!
Nikaendelea na kazi zilipopungua nikamcheki Anita hakupokea simu, nikamcheki Sister akaniambia shogako ameondoka hajaaga hapa tangu majuzi sijui kaenda wapi mtafute mwenyewe, nikamwomba anisaidie kumpigia maana kwangu hapokei hata simu ya mezani hapokei!

Nipo buzy na shughuli zangu namwona Aloyce anaingia anatabasamu, kaja kumwona mpenzi wake Anita!

Nikamwambia hayupo yupo likizo, ila sikuhizi ana simu namba yake ni hii embu mtafute ujue yupo wapi niende maana kwangu kaondoka siku 2 zilizopita!

Aloyce kama kawaida na midadi yake akamcheki hewani, woi kwani Anita anapokea sasa simu walaa utadhani imeibiwa kumbe anayo mfukoni

Nikampigia PAPAA akapokea

Papaa: shida?

Money Penny: Anita

Papaa: kwani mimi mzazi wake

Money Penny: nipe niongee nae

Papaa: simjui wala sijui alipo

Money Penny: wewe ndio mtu wa mwisho kuonekana nae, nipe bwana acha ujinga

Papaa: akakata simu

Money Penny: nikasema ahaaa! Kumbee ndio michezo yenyewe basi hamna shida!

Nikaendelea na kazi jioni nikarudi hotelini kwa DON, hayupo!
Doh ya leo kali nikalala, asbh DON hayupo nguo zake zote zipo sikujua alipoenda, simu yake haipatikani, nikaulizia Reception naambiwa alirudi akaondoka tena hajaja tena

Nikawaza atakuwa wapi nikaenda kazini, Mchana Don akaja kuni-surprise akaomba tuende lunch, njia nzima anaomba radhi kwa kutolala Hotelini jana,

Money Penny: ikabidi nitabasamu feki, lakini kama hajalala kwako anajua alipolala na mimi haikunisumbua maana wanaume wote baba yao mmoja (shetani)!

Baada ya chakula cha mchana ikabidi kila mtu arudi kazini kwake, jioni wakati natoka Kazini namwona Bi Anita nje ya mlangoni, nadhani alikuwa ananisubiria

Kumwangalia naona kama analia, kumwangalia vizuri naona amevimba usoni kweli kweli, nikamhurumia, nikamkumbatia, nikamwomba aniamini anifuate tukarudi hotelini Kilimanjaro Don akiwa hayupo!

Kufika ikabidi afunguke kuhusu ya Papaa, kuwa alikuwa anampenda sana, haijawahi kutokea blah blah kibao, na jinsi amemuumiza kwa kutembea na SUBIRA, zaidi ya mara 2 na jinsi three sum ilivyoenda mara 2 na hajui cha kufanya akaomba msamaha kuondoka kwetu bila kuaga akaogopa kurudi akaamua kuja kuniona ofisini,

Yani Anita akiongea utadhania Malaika wa Nuru kumbee!

Baada ya kunieleza makorokocho yake yote ambayo nayajua akaniuliza nafanya nini hapa, nikamdanganya nimekuja kujipumzisha, pia kuna kabiashara nataka kukafanya Arusha, kuna mwekezaji amekuja jana naonana nae hapa ndio nimekuja kulala huku hamna jinsi,

Money Penny: usijali utarudi kuishi na sisi, tunakupenda, sasa ulienda wapi ulijificha wapi Dada ananiambia haukuonekana siku 4 hizi

Anita: sikwenda Bagamoyo! ukweli ni kwamba nilirudi kwa Yule Mpenzi wangu libaba la Tangibovu, nilitaka kumwambia kuwa aache kunifuatilia, nimeshapa mtu mwingine napendana nae,

Kumweleza vile ni kosa, akaamua kunipiga, alinipiga sana sana sana na baada ya hapo alifosi kulala na mimi,
Money Penny: sasa ulifikaje ofisini leo jioni,

Anita: aliniambia nisahau kurudi kwa huyo ninayempenda, akanifungia siku ya 1, ya 2 ikabidi nipige simu kuomba likizo ofisini maana sikujua nitarudi au la, siku ya 3 nikamdanganya nampenda, tusahau yaliopita, tuendelee najua hakuamini lakini ilibidi ajifanye ameniamini, nikazidi kumwaminisha, siku 3 hizi akajisahau nikatoroka ndio nikakimbilia kwako
Money Penny: yani Anita ni mwongo mzuri, nimemsikiliza nimeskia kuchoka tu na hivi nimetoka kazini chokest anazidi kuniongezea uchovu!

Dah! kazi kweli kweli, bora angesema ukweli lakini kunifanya mimi jingas, leo haitaisha nitamchosha tu!
Anajaribu kunidanganya hata na mimi kweli shetwain mkubwa!
Kama mwanaume anakupiga kwanini unaendelea kwenda kwake kila mara? Sio kweli, nikajisemesha moyoni, nikapiga simu kuomba msaada wa kuponya jeraha la Anita pale mapokezi,
Msaada ulipokamilika ikabidi Anita alale, nikabaki nawaza itakuwaje DON akimkuta mwanae hapa?

Nikiwa katika kuwaza mara naona Don anafungua mlango anaingia nikamkimbilia, nikampokea kwa mabusu tele Don akakolea!

Kusogea kitandani akamwona Binti amelala,

DON: Huyu ni nani tena?

Money Penny: Don, naomba tukaongee nje tafadhali kuhusu huyu Dada! Ni rafiki yangu anaumwa amelala..
Tukatoka nje ya mlango ikabidi nimweleze ukweli wote, na jinsi nilivyokutana na Anita na maneno alionielezea Money Stars na jinsi walikuwa wanafanana, nikajua tu kuwa huyu ni mtoto wako!
Lakini sikuwa na njia ya kuwakutanisha na wala sikupanga kuwa kwenye mahusiano na wewe Don, nisamehe!
Lakini sasa nadhani ni muda muafaka wa kukutana na binti yako, anaitwa Anita..
Don: alichanganyikiwa hakuamini maneno yangu ikabidi aingie ndani akamkuta
Anita ameamka!
Anashangaa huyu baba wa wapi?

Anita: Penny huyu nani mbona unaingiza wanaume chumbani

Money Penny: nilikuwa na wakati mgumu kumweleza Anita kuwa Don ni Baba yake Mzazi, kwanza hakuamini maana alijua hana wazazi tena haya mapicha yameinuka wapi?
ikabidi Don atoe picha zake za utotoni na Money Stars! Akamweleza kila kitu, Anita anashangaa baadae akaamini, wakakumbatiana wote wanalia!

Mimi nimekaa pembeni nazoom movement zote! Money Penny tena!

Mwisho wa siku Anita amekutana na Baba yake Mzazi tena kwangu, hii ilikuwa inatosha kabisa! mambo mengine yote hayajalishi tena kwangu!

Anita: Mbona Yule Baba wa Tangibovu alisema alinitoa kwa watoto yatima?

Don: Baba yupi?

Anita: akaongea ukweli wote, Don akaomba kama ana picha ya huyo Baba amwonyeshe,

Anita akaitoaa, kuangalia doh ni Yule Partner wake aliemteka nyara wanae Anita, Don akachokaa

Tukamwuliza unamjua akasema ndio ndio aliemteka nyara Anita akiwa shuleni ndio Business Partner wake wa zamani Kabla hajaenda Uingereza kutafuta maisha, akamwelezea Anita kwa upya kuhusu Yule Baba wa Tangibovu!

Anita akachokaaa! Akaniangalia akawa kama haelewi kama mtu Aliechanganyikiwa, Japo mimi nilihisi ila Anita alichoka mara 2, akawa kama amechanganyikiwa, akashika kichwa kama kinamuuma, mara akaanza kuskia kutapika!

Akainuka akakimbilia bafuni akatapika bwaaa! Tukawa tunaangaliana na DON kutapika huku vepe?!

Moyoni nikajisemea, hii mimba ya ANITA sasa itakuwa ya nani sasa; ya PAPAA, Baba wa Tangibovu au?
Money Penny maswali hayakuniisha kichwani, tangu lini mtoto wa miaka 7 atekwe nyara asikumbuke kuwa alikuwa na wazazi, mtoto wa miaka 7 anakumbuka kila kitu hawa wajinga wanacheza na akili yangu na mimi sikubali kushindwa, hapa kati kuna kitu na mimi ninao muda woooote wa kusubiria kujua nini kinaendelea kwani napungua kitu gani?

sijui wewe mpenzi msomaji!

MWENDELEZO WA HADITHI HII BONYEZA LINK HII HAPA 👇👇

Ila Papaa jasiri... Mimi nisinge weza hata kama kazi ya ukitengo inafundisha maadili ya unyenyekevu na kutopanic... Ila nimetoka kula tamu punde nione jibaba natambulishwa ni shemeji. Duuuu na Papaa akakubali Lunch ya Don kweli?
HAHAHAHA njoo nimerudisha majeshi
 
Hahaha wote mafurushi wapi na wapi me akiwa naye bonge atavutiwa vipi na ke wakati bonge kama mmeongozana mke mbele yeye huku nyuma anafurahia, au sio Money Penny

Jaman kifungoni tena
Doh ata hujantag jamani jamani Mna mpango gani uwiiii ngoja nitafute nienjoi

Cc Smart911
Hapo unachotafuta ni kuja kum-black mail Don akupe urithi wake...

Ameshaliwa Money Penny... jana na leo... faster faster... Kaanza Don baba wa Money Star akafuata Papaa...

Usisahau kunitag naomba Money Penny

njoo boss kumekuchaaa
 
Dadalake sio kwa rafu hizo mhmhmh!!

Cc Smart911
pole kwa kuniita inaonyesha jinsi gan wanipenda nimekuja ushindwe wewe sasa!

Mmh ngoja akurudi pengine atatuambia vizuri shida ni nini

hongera kwa pumzi round 4 machine tofauti aisee
Tunakusubilia sijui bado upo na baba wa shoga
Money Penny unazingua hii sio Banned..... Unatuchezea..Toa hiyo Avatar ya Banned ukuje huku...
hahaha nilipigwa kweli ban
mkujeee

Kichaafulani naskia umeenda kunireport! hongera sana me bado nakula mema ya nchi!

Money Penny tarehe 27 haijafka tuu?
njoo

Money penny naona umeamua utule kiboga
Sio kula tu na toilet kashaenda kukinya
hahahaha jomon asanteni kwa upendo!

njoo!
 
  1. E. MWANZO WA MAMBO YOTE

Kufika ofisini sikumkuta bi Anita nilipoulizia nikaambiwa ameenda likizo fupi ya wiki 2… nikashukuru Mungu maana angenisemea kwa sista chaumbea yule!

Nikaendelea na kazi lunch time akaja Subira,

Subira: Mrembo mzima? sijakusikia sikukuu zote hizi vipi mama ulifichwa?

Money Penny: wala sikufichwa nilikuwa tu mwenyewe ndani napunguza mawazo

Subira: naona bibie kaomba likizo, lazima aombe likizo sio kwa lile tukio la majuzi kati

Money Penny: tukio gani tenaa?

Subira: mmmh!
We acha tu Penny kwani Anita hakai kwenu? ungemwuliza yaliotokea

Money Penny: mmh mbona yupo poa tu lakini ameondoka amesafiri kasema kaenda Bagamoyo kujipumzisha

Subira: Bagamoyo tena? Walokole nao wanaendaga kujipumzisha?
Hahaha kwani ameondoka lini Money Penny?

Money Penny: mmmh tangu sikukuu ya majuzi iishe ile ya Nane Nane (hapo namdanganya mimi sijui kitu nabahatisha)

Subira: Basi mama Yule shogako ni Malaya hakuna mfano hata sijui anafanya nini huko Kanisani

Money Penny: Malaya tena?
Kwani kuna nini mbona unanirusha roho?

Subira: sikuile nilipokupa ule mkanda wa Fake Pastor na bi Anita unakumbuka?

Tukajaga kuondoka kila mtu kajazwa!

Basi Penny mimi nikaamua kuendeleza u-snitch nijue nini kinaendelea kati ya wale wawili kwahiyo sikuacha kwenda pale anaposalisha Yule mjinga
Nikawa nawahi sikosi ibada nakaa na washarika, sikumoja nimewahi namkuta msharika analia katika ongea ongea nae, akaniambia ana ujauzito wa Yule fake Pastor wenu!
Sikuamini, maana mademu wa kule wana siri nyingi nikambana kwanini aseme ni ujauzito wa Fake Pastor?
Yule binti kakomaa ni wake akanieleza mara ngapi ametembea na Yule Muhuni, tena sikunyingine ibada za j2 zikiisha tu, watu wakishaondoka wanaonana usiku nyumbani kwa Yule mjinga!
Sikuamini na wala sikutaka kuamini, nikaendelea kumdodosa maana kwanza kale kademu kanaonekana macho juu juu huenda anapepo la ukahaba!
Akawa anang’ang’ania ni ya Yule Pastor ni ya Yule Pastor nikaamua kumuaribia Anita kuupata ukweli wote wa fake Pastor wako!
Nikamwambia Yule binti unajua Yule Pastor anataka kufunga ndoa haya maneno unayaongea unauhakika ni ya kweli?
Maana mkewe mtarajiwa yupo hapa hapa Kanisani, akashtuka anataka nimwambie ni nani?

Nikakataa kumweleza akanibana niambie tafadhali, nikamtaja Dada mwingine kabisa, akashtuka haiwezekani Yule mbona ana Bwana wake anahesabu sadaka na wamepanga kuoana mwakani kumbe anamzunguka alafu huyo unayemtaja ni best yangu sana
Nikasema enhe bibie kafunguka, nikachokoza tena kumbe yule muhesabu sadaka anamuoa yule best yako
… akajibu ndio
.. nikamwambia mbona muhesabu sadaka anatembea na kademu kamoja kanaitwa Anita?!

Yule dada alichokaaa!

Anita huyu huyu ninayemjua au?

Mungu wangu weee!

Nikamwuliza vipi mbona unaguna mama?

Akaniambia yule muhesabu sadaka ana ukimwi!

Na nilishatembeaga nae sana kabla hajawa na best yangu huyu ambae anataka kuolewa na Pastor na kama Anita ametembea nae ina maana Anita anaukimwi

Nikamwuliza kama wewe umetembea nae ina maana unao pia kwanini unashangaa ya Anita?!

Akanyamaza kwa muda huku amefura hasira nikajua tu hapo kuna kitu either mimba sio ya Fake Pastor au Anita hana ukimwi na hili jingas litakuwa lina mimba ya muhesabu sadaka.. basi ibada ikaanza bimdashi mwenye ujauzito akatoka nje

Ibada ikaisha kama kawa Bi Anita akabakia kumsubiria Fake Pastor, mimi nikaondoka moja kwa moja ofisini kwa Fake Pastor, nikauiba ufunguo mmoja wa nyumba ya Fake Pastor!
Nilifika nyumbani kwa Fake Pastor, saa 1 usiku alirudi nyumbani saa 4 usiku tena wapo na Anita!

Si unakumbuka Penny, uliniambia ile ishu ya Hotel nikajiandaa kabisa na vifaa nikavitegaa!

Nina kikamera change cha Canon nilipewaga na bwana mmoja kadogo aliniletea toka Uingereza nikakiegesha mahali ambapo fake Pastor hatojua!
Wakaingia wenyewe wanabebana wanacheka wanafurahi stering nipo chumbani mtupu! Wakanikuta nimekaa kitandani kimahaba zaidi wakashangaa!
Anita akaanza kufoka hapo unafanya nini chumbani kwangu? Si unanijua mimi mafia sijibu ujinga nikamwambia nimekuja kuchukua mrejesho leo siku yangu ya mrejesho wewe nenda uje kesho!
Fake Pastor alichokaaa! Nikamwambia wewe mjinga sijui Mchungaji ahadi yangu unaikumbuka lakini ndio leo uliniambia nije skunyingine nimeshakuja!

Doh Pastor ikabidi awe mpole, akubaliane na ombi langu yani pale Penny hamna Mchungaji kuna lihuni toka Kuzimu!

Akamwambia Anita aende tu nyumbani wataonana kesho Anita akakataaa analia nikainuka kitandani nikambembeleza bi Anita, basi hamna shida tufanye shea kama skuile Kanisani,
Akawa anakatakaa mi nikaendelea kumtega Mchungaji akalainika nikamwambia Anita either uje au uendelee kutuangalia, sijui li Anita likaona nafaidi si likaja!

Ikapigwa Three sum ya kufa mtu Penny huku Camera inarekodi!

Kama kawaida kila mtu aliondoka amejazwa!
Asbh yake ilikuwa sikukuu ya Eid, nikajifanya nimechoka, Anita akaondoka wa kwanza, fake Pastor akamfuata!

Mimi nikanyanyuka nikaitoa ile Camera nikaiweka kwenye pochi, sikuoga nikavaa Faster nikaondoka, kwahiyo mrejesho wako Penny huu hapaaa, akatoa Memory Card ya Camera akanipa, kama hauamini iweke kwenye computer hapa uhakikishe

Money Penny: nikachokaa! kweli SUBIRA Mafia!
Kuangalia kwenye Desk top ni sheedah! Nikamchukuru Mno!
Kabla sikitu hajaondoka, akaniambia lakini sijui kama shogako atakuwa na mahusiano tena na lile huni!

Maana asbh aliamka kwa hasira wakaongozana na Yule Muhuni anambembeleza, naskia wamegombana me sijui lakini naskia wamegombana sana, mpaka Yule Pastor sijamwona tena kanisani juzi na jana hakuwepo mara naambiwa kasafiri kikazi hata sielewi mimi niliopoona kazi yangu imeisha nikarudi zangu mtaani kuwa SUBIRA tena!
Kwahiyo mtafute shosti yako najua kaomba likizo makusudi anafikiri mimi nitamtangaza hapa ofisini lakini wala siko hivyo!

Money Penny: nikamshukuru sana SUBIRA, sikuamini, Movie ile inahitaji malipo makuu sana!

Sikuhio hio nikaenda kwenye Bank akaunt ya Fake Pastor nikatoa Mil 1 nikaja kumpa Subira akafurahi sana!

Subira: Penny ukipata kazi zingine naomba uniambie maana doh sio kwa mihela hii

Money Penny: Poa boss yake usikonde mimi na wewe tena?!
Nikaendelea na kazi zilipopungua nikamcheki Anita hakupokea simu, nikamcheki Sister akaniambia shogako ameondoka hajaaga hapa tangu majuzi sijui kaenda wapi mtafute mwenyewe, nikamwomba anisaidie kumpigia maana kwangu hapokei hata simu ya mezani hapokei!

Nipo buzy na shughuli zangu namwona Aloyce anaingia anatabasamu, kaja kumwona mpenzi wake Anita!

Nikamwambia hayupo yupo likizo, ila sikuhizi ana simu namba yake ni hii embu mtafute ujue yupo wapi niende maana kwangu kaondoka siku 2 zilizopita!

Aloyce kama kawaida na midadi yake akamcheki hewani, woi kwani Anita anapokea sasa simu walaa utadhani imeibiwa kumbe anayo mfukoni

Nikampigia PAPAA akapokea

Papaa: shida?

Money Penny: Anita

Papaa: kwani mimi mzazi wake

Money Penny: nipe niongee nae

Papaa: simjui wala sijui alipo

Money Penny: wewe ndio mtu wa mwisho kuonekana nae, nipe bwana acha ujinga

Papaa: akakata simu

Money Penny: nikasema ahaaa! Kumbee ndio michezo yenyewe basi hamna shida!

Nikaendelea na kazi jioni nikarudi hotelini kwa DON, hayupo!
Doh ya leo kali nikalala, asbh DON hayupo nguo zake zote zipo sikujua alipoenda, simu yake haipatikani, nikaulizia Reception naambiwa alirudi akaondoka tena hajaja tena

Nikawaza atakuwa wapi nikaenda kazini, Mchana Don akaja kuni-surprise akaomba tuende lunch, njia nzima anaomba radhi kwa kutolala Hotelini jana,

Money Penny: ikabidi nitabasamu feki, lakini kama hajalala kwako anajua alipolala na mimi haikunisumbua maana wanaume wote baba yao mmoja (shetani)!

Baada ya chakula cha mchana ikabidi kila mtu arudi kazini kwake, jioni wakati natoka Kazini namwona Bi Anita nje ya mlangoni, nadhani alikuwa ananisubiria

Kumwangalia naona kama analia, kumwangalia vizuri naona amevimba usoni kweli kweli, nikamhurumia, nikamkumbatia, nikamwomba aniamini anifuate tukarudi hotelini Kilimanjaro Don akiwa hayupo!

Kufika ikabidi afunguke kuhusu ya Papaa, kuwa alikuwa anampenda sana, haijawahi kutokea blah blah kibao, na jinsi amemuumiza kwa kutembea na SUBIRA, zaidi ya mara 2 na jinsi three sum ilivyoenda mara 2 na hajui cha kufanya akaomba msamaha kuondoka kwetu bila kuaga akaogopa kurudi akaamua kuja kuniona ofisini,

Yani Anita akiongea utadhania Malaika wa Nuru kumbee!

Baada ya kunieleza makorokocho yake yote ambayo nayajua akaniuliza nafanya nini hapa, nikamdanganya nimekuja kujipumzisha, pia kuna kabiashara nataka kukafanya Arusha, kuna mwekezaji amekuja jana naonana nae hapa ndio nimekuja kulala huku hamna jinsi,

Money Penny: usijali utarudi kuishi na sisi, tunakupenda, sasa ulienda wapi ulijificha wapi Dada ananiambia haukuonekana siku 4 hizi

Anita: sikwenda Bagamoyo! ukweli ni kwamba nilirudi kwa Yule Mpenzi wangu libaba la Tangibovu, nilitaka kumwambia kuwa aache kunifuatilia, nimeshapa mtu mwingine napendana nae,

Kumweleza vile ni kosa, akaamua kunipiga, alinipiga sana sana sana na baada ya hapo alifosi kulala na mimi,
Money Penny: sasa ulifikaje ofisini leo jioni,

Anita: aliniambia nisahau kurudi kwa huyo ninayempenda, akanifungia siku ya 1, ya 2 ikabidi nipige simu kuomba likizo ofisini maana sikujua nitarudi au la, siku ya 3 nikamdanganya nampenda, tusahau yaliopita, tuendelee najua hakuamini lakini ilibidi ajifanye ameniamini, nikazidi kumwaminisha, siku 3 hizi akajisahau nikatoroka ndio nikakimbilia kwako
Money Penny: yani Anita ni mwongo mzuri, nimemsikiliza nimeskia kuchoka tu na hivi nimetoka kazini chokest anazidi kuniongezea uchovu!

Dah! kazi kweli kweli, bora angesema ukweli lakini kunifanya mimi jingas, leo haitaisha nitamchosha tu!
Anajaribu kunidanganya hata na mimi kweli shetwain mkubwa!
Kama mwanaume anakupiga kwanini unaendelea kwenda kwake kila mara? Sio kweli, nikajisemesha moyoni, nikapiga simu kuomba msaada wa kuponya jeraha la Anita pale mapokezi,
Msaada ulipokamilika ikabidi Anita alale, nikabaki nawaza itakuwaje DON akimkuta mwanae hapa?

Nikiwa katika kuwaza mara naona Don anafungua mlango anaingia nikamkimbilia, nikampokea kwa mabusu tele Don akakolea!

Kusogea kitandani akamwona Binti amelala,

DON: Huyu ni nani tena?

Money Penny: Don, naomba tukaongee nje tafadhali kuhusu huyu Dada! Ni rafiki yangu anaumwa amelala..
Tukatoka nje ya mlango ikabidi nimweleze ukweli wote, na jinsi nilivyokutana na Anita na maneno alionielezea Money Stars na jinsi walikuwa wanafanana, nikajua tu kuwa huyu ni mtoto wako!
Lakini sikuwa na njia ya kuwakutanisha na wala sikupanga kuwa kwenye mahusiano na wewe Don, nisamehe!
Lakini sasa nadhani ni muda muafaka wa kukutana na binti yako, anaitwa Anita..
Don: alichanganyikiwa hakuamini maneno yangu ikabidi aingie ndani akamkuta
Anita ameamka!
Anashangaa huyu baba wa wapi?

Anita: Penny huyu nani mbona unaingiza wanaume chumbani

Money Penny: nilikuwa na wakati mgumu kumweleza Anita kuwa Don ni Baba yake Mzazi, kwanza hakuamini maana alijua hana wazazi tena haya mapicha yameinuka wapi?
ikabidi Don atoe picha zake za utotoni na Money Stars! Akamweleza kila kitu, Anita anashangaa baadae akaamini, wakakumbatiana wote wanalia!

Mimi nimekaa pembeni nazoom movement zote! Money Penny tena!

Mwisho wa siku Anita amekutana na Baba yake Mzazi tena kwangu, hii ilikuwa inatosha kabisa! mambo mengine yote hayajalishi tena kwangu!

Anita: Mbona Yule Baba wa Tangibovu alisema alinitoa kwa watoto yatima?

Don: Baba yupi?

Anita: akaongea ukweli wote, Don akaomba kama ana picha ya huyo Baba amwonyeshe,

Anita akaitoaa, kuangalia doh ni Yule Partner wake aliemteka nyara wanae Anita, Don akachokaa

Tukamwuliza unamjua akasema ndio ndio aliemteka nyara Anita akiwa shuleni ndio Business Partner wake wa zamani Kabla hajaenda Uingereza kutafuta maisha, akamwelezea Anita kwa upya kuhusu Yule Baba wa Tangibovu!

Anita akachokaaa! Akaniangalia akawa kama haelewi kama mtu Aliechanganyikiwa, Japo mimi nilihisi ila Anita alichoka mara 2, akawa kama amechanganyikiwa, akashika kichwa kama kinamuuma, mara akaanza kuskia kutapika!

Akainuka akakimbilia bafuni akatapika bwaaa! Tukawa tunaangaliana na DON kutapika huku vepe?!

Moyoni nikajisemea, hii mimba ya ANITA sasa itakuwa ya nani sasa; ya PAPAA, Baba wa Tangibovu au?
Money Penny maswali hayakuniisha kichwani, tangu lini mtoto wa miaka 7 atekwe nyara asikumbuke kuwa alikuwa na wazazi, mtoto wa miaka 7 anakumbuka kila kitu hawa wajinga wanacheza na akili yangu na mimi sikubali kushindwa, hapa kati kuna kitu na mimi ninao muda woooote wa kusubiria kujua nini kinaendelea kwani napungua kitu gani?

sijui wewe mpenzi msomaji!

MWENDELEZO WA HADITHI HII BONYEZA LINK HII HAPA MAHUSIANO... - MONEY PENNY TZ

Nimeenjoy Kiukweli
 
Back
Top Bottom