Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

nenda tanga mkuu..wanavaa ila unatongoza as normal,,usiku ndo wanavua wawapo kwenye magest house,,wengi wanapenda mtandao pendwa wa 0713....
 
Kwa asili sisi waafrika hatukua na mavaz ya kufunika mwili mzima na maisha yalienda vzuri tu watu walikua na adabu. Ila baada ya hawa wageni kuja ndo shida ikaanza. So vimini havina shida ila shida ipo kwenye saikolojia zetu maana huko zamani wadada walivaa vibaya zaidi ya sahvi na hakukua na shida walikua na maadili haswa na tabia njema.
 
Kwa hiyo mnasema wale mabibi zetu waliokua wanaacha maziwa wazi wanaziba uchi tu walikua sio wastaarabu sio??? Wale wadada wa swaziland na wazuru wa Afrika kusini wanaokaa vifua wazi na nguo asili hawajastaarabika na hawafai???
Humu naona watu wapo na ulevi wa wadada wa kiarabu na wasichana weupe ndo naona mnawaposti tu hapa. Mdada anawezavaa kimini kama vazi tu na bado akawa mstaarabu kuliko mvaa mahijabu.
 
Wastaaraabu, sana tu, kila zama ana elim yake
 
Ule ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.

So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
Kumbe na nyie ni kuwa tuwapongeze wazungu kwa kuwaharibu?
Jifunze kitofautisha dini na maisha binafsi ya watu fulani
 
Hivi ni mavazi ya kiislamu?

Sidhani kama kuna mfungamano wa kidini zaidi ya uchaguzi tu wa mavazi, sema wengi wa hizo nchi za kiislam wanalazimika kuvaa kwa shuruti, na haswa ni za kimfumo dume.

Kuna jamii fulani inajiita Armish wao pia wamechagua aina yao fulani ya uvaaji.
 
Ule ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.

So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
Kumbe mwana ulikua unajiita Bulldog?
Mbona jina baya hivo? Ndio maana ukabadilisha.
 
Back
Top Bottom