Recent content by Emmanuel_Adam14

  1. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania Karibu Nyumbani Baba.....!!!

    Wewe ulishawai kwenda !?
  2. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za Serikali ya CHADEMA madarakani

    Kama mtanzania usikubali kuuza kura yako kwa Tsh 10,000/=
  3. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi tatizo la kuambiwa huna hisia nini na watu wanaokuzunguka huwa linatokana nini?

    Mimi hata sijaelewa kwani ww umeelewa!!
  4. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania Je, umemgonga mtu na ukagundua 100% haujaonekana utafanyaje?

    Hahahha Inategemea alipotoka ila usilipize ubaya kwa ubaya!!
  5. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania Hatuachi kitu...

    Hahahahaha alafu waweza kuta aliyemwaga hiyo ni mbuzi yaani yupo serious na maisha yake anakula majani!!
  6. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania Je, umemgonga mtu na ukagundua 100% haujaonekana utafanyaje?

    Umeona eeh kuna leo na kesho!!
  7. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania Je, umemgonga mtu na ukagundua 100% haujaonekana utafanyaje?

    Unafuka kombe kwa kupiga simu police!!
  8. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania Je, umemgonga mtu na ukagundua 100% haujaonekana utafanyaje?

    Hapo ni kumpa huduma ya kwanza then unampeleka hospital. Hivi ulishawahi kusikia ule msemo wa "malipo ni hapa hapa duniani" .
  9. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania Bangladesh yafunga tovuti za ngono

    😆😆😆😆😆Itakuwa Cinema ya kihindi!!
  10. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu "kugongwa" kwa Dreamliner ya ATCL,ushindani wa kibiashara na siasa za kutakiana mabaya

    Huuuuh Ahsante kwa ufafanuzi maana nimeshawaza mengi saana !!
  11. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania Bangladesh yafunga tovuti za ngono

    Tanzania ikija hiii nakuhakikishia utakuwa mjadala bungeni week nzima!!
  12. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania 'Kupiga kofi', Huenda ikawa chanzo cha ajali nyingi Mbeya!

    Daaah aisee kweli ni changamoto mpaka nimeishiwa pozi!!
  13. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania 'Kupiga kofi', Huenda ikawa chanzo cha ajali nyingi Mbeya!

    Ebu naomba Geographia ya Mbeya kwanza !!
  14. Emmanuel_Adam14

    JamiiForums Tanzania Tulinyang'anywa korosho na sasa tunarudishiwa eti hazina ubora! Inauma sana

    Hivi kahawa ilawahi kuleta songombingo kama korosho na kati ya kahawa na korosho kipi kipo juu kithamani!!
Back
Top Bottom