Hivi tatizo la kuambiwa huna hisia nini na watu wanaokuzunguka huwa linatokana nini?

Akili zangu hazipo sawa

Senior Member
Apr 23, 2020
160
118
Wakuu naamini kila mtu ni mzima wa afya,kama kichwa kinavosema hivi watu wanaokuzunguka huwa wanakuonaje mpaka wanakwambia jamaa huna hisia nakumbuka hali hii imenikuta sana level ya sekondari kote Olevel na advance,michango yenu tafadhari
 
Duu utakuwa ulikuwa huongei au huna ukaribu na watoto wa kike maana hiyo kauli wahuni wangu walikuwa wanaitumia sana enz izo tupo sec has a pale wadada wanapokuwa karibu ako ila wewe unakula ngumu ,kama nitakuwa sijakosea hiyo ndo sababu .
 
Hayo ni maoni ya watu ambao wangependa kupata ukaribu na wewe, lakini kutokana na kukuona kama mtu mgumu ku initiate mahusiano, inakuwa changamoto kuanzisha mahusiano na ukaribu na wewe.
Hii inatokea sana kama una asili ya introverted personality, wengine watafikia kukudhania kuwa unajisikia, au unajiona superior, lakini ni asili yako tu. Hii ni misunderstading kubwa sana kati ya introverts na extroverts.
 
Back
Top Bottom